Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

Hivi barua ya mwenyekiti wa mtaa ina ulazima wowote wakuu?

dah mkuu sasa umezidi hata hiki nacho!! wengne tunahangaika na vyeti vya std 7 wewe barua tu, wewe nenda kwa mwenyekiti wa mtaa au mtendaji wa kata atakuandikia hiyo barua anda na buku jero
 
JAMAN MIMI DARASA LA SABA NILIKUA NAITWA KARIM HAMISI
HIL LLKUA KWA KFUP BAADAE NLPOINGIA KDATO CHA KWANZA NKABADL JNA NA LKAANDKWA KWA KREFU KAMA ABDULKARIM KHAMIS
SWALI:Hv hapa kuna tatzo lolote maana chet cha la7 nnacho?
Halafu pia nmexoma Agrculture lakn pia katka Agrculture nmexoma
Application of ICT na Program kama Ms word, Ms Excel, Ms,Power point na
Internet acces
SWALI:Je naweza fkriwa katka nafax ya Ucostebo?
Maon yenu wadau.
 
Wajameni muambatanisho wa CV unahusika ktk hizi nafasii??...maana kipengele cha viambatanisho hawajaorodheshe,sa nisije weka afu nikasome vingine!?.Naombeni kufafanuliwa wajameni.
 
wakuu hizi barua tunaziandika kwa kiswahili? Na kuna haja ya RESUME ''cv''?
Anae jua anisaidie
 
naona una hasira kama mwanamke aliyejeruhika kwenye ndoa...

kutoa wazo kwamba akutafute wewe umsaidie kupata mikaratasi ya huko nae apige box vibaya?

halafu kauli zako zinadhalilisha utu wako naona umemwita mchungu mwenzio wa maisha

uhusudu kulambwa koni na hiyo mijasho ya kupiga box huko uvunguni si itakuwa balaa?

huna jipya

Ha ha ha watu mna maneno aisee...
 
Uuuuuupsi another one strd seven cheti tatizo na janga LA taifa kwa wasomi....I will apply hii ni fursa..its our time God will make away for us.
 
Uuuuuupsi another one strd seven cheti tatizo na janga LA taifa kwa wasomi....I will apply hii ni fursa..its our time God will make away for us.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom