Nafasi Kazi za Uhamiaji (2014)

hahaaa!! nilimuona bana! si yule anaeanza na EV? nilikuambia uoe! kumbe nae anakufukuzia!!!

hahaaa!!

weeeeh lile gari siliwezi mie

kisa cha kuambiwa nna dushe ya utambi cha nini mie?

kunguru asofugika teh teh teh
 
kitoke wapi?

nina form 4 form 6 na chuo tu!

ila kuapply ni lazima! hii fursa ikinipita ntajuta!

wameweka katika viambatanisho mkuu mimi mwenyewe nazitaman hzo post lakini duh nilishindwa kutuma pccb kwa sababu ya chet cha std 7
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom