Naenda kuanza maisha Iringa sina sehemu ya kufika na nina pesa ya nauli tu

Nashukuru kwa ushauri mkuu! Ubarikiwe Sana.. Vipi kibarua Siwezi Pata huko?
Kuna bidhaa kubwa ya mbao ambayo inatoka mkoani humo hivo kuna sehemu nyingi zakuchakata bidhaa iyo, naamini kama si mchaghua kazi utapata.

Japo mkoa wenye uhakika wa kazi za vibarua ni dar es saalam.
 
Mhh Iringa bora ya mtwara ungeenda Mbeya,Sumbawanga au dar pia ukifanya kitu kidogo kitakupa matokeo Iringa pale sipaelewi kabisa unaweza kufanikiwa ila utachukua muda kuliko hiyo mikoa niliyotaja...
 
Mkuu kwani Sumbawanga, Mbeya, na Mtwara kuna vivutio gani kwa watu wanao anza kutafta maisha
 
Mkuu tupe michongo ya mikoa ulio itaja kwa watu wanao anza kutafta maisha
Mhh Iringa bora ya mtwara ungeenda Mbeya,Sumbawanga au dar pia ukifanya kitu kidogo kitakupa matokeo Iringa pale sipaelewi kabisa unaweza kufanikiwa ila utachukua muda kuliko hiyo mikoa niliyotaja...
 
Mhh Iringa bora ya mtwara ungeenda Mbeya,Sumbawanga au dar pia ukifanya kitu kidogo kitakupa matokeo Iringa pale sipaelewi kabisa unaweza kufanikiwa ila utachukua muda kuliko hiyo mikoa niliyotaja...
Kwanini Iringa? Halafu hilo jina mbona kama la Kimbeya hivi?
 
NIMEKUMBUKA UYU MTU ANAKIMBILIA IRINGA ZILE PESA ZA WAKINGA UJUE NIMESHANGAA MTWARA SAIV NDIO INA HAPPEN AF MTU ANATOKA NTWARA ANAENDA IRINGA ACHANA NA KAFARA KIJANA PAMBANA MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA.
 
Huo mkoa uendao si sahihi kama unaenda tafuta maisha na kianzio huna, njoo DSM ukiamua ht kutembeza pweza na ngisi kwny Sinia, ama samaki wa kukaanga kwny Sinia pia na chachandu kwa mtaji mdogo ht wa 20,000 utaishi bila wasiwasi...huku fursa za ujasiriamali ni nyingi...ht utumbo wa kuku watu wanakula, ukipika maharage na chai pia utauza...otherwise ukija Dar nitafute, ila usiache nibebea zawadi ya Ulanzi
 
Wakuu walioko iringa nimeamua kuzamia mkoa wa iringa msaada sehem ya kufikia Sina pesa ya guest Naombeni ushauri na mawazo ama sehem ya kufikia kulala

Naenda kuanza maisha nisaidieni wakuu msaada.. Pia naomba ushauri wapi napata kibarua kazi yeyote naifanya lengo nipate pesa ya mtaji asanteni
mkuu, njoo dar tu, huku circulation ya pesa ipo high, iringa kwa starters ni ngumu sana kutoboa
 
Mkuu tupe michongo ya mikoa ulio itaja kwa watu wanao anza kutafta maisha
Mkuu Sumbawanga huko na maeneo ya Katavi wanahitaji sana bidhaa hizi ziwe Viatu vya kike au nguo za mtumba kuna watu wanatoa viatu Arusha na nguo za mtumba wanapeleka huko na kipindi hiki cha mavuno ya mpunga unaweza ukaanza tena kununua mpunga unaenda kuuza mashineni wanapokoboa kuutoa tuu huko shamba mpaka hapo utapata kitu...Tabora niliona vitu vipo pia vya kununua ili ukauze miji inayovihitaji ukikaa huko miaka kadhaa unapata mtaji kikubwa kuwa makini tuu...
 
Back
Top Bottom