Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
- Thread starter
- #41
Hayakuhusu.......
ushaenda shamba??
Kununua viwanja au kulima migomba teh teh...
Hayakuhusu.......
ushaenda shamba??
Baiskeli....
mh nawewe kilaza aisee lol
Motorcycle bwanaweee..
asiejua maana usimwambie maana
Kununua viwanja au kulima migomba teh teh...
sawa mtaly byee all the best there
Dogo anataka kulima kahawa dar
Vp haliyahewa inaruhusu kweli?
Hapo sasa...sijui ataifanyaje ili iruhusu
Naweza sema ni nyumbani kwakuwa muda mwingi nautumia nikiwa chuo kuliko home,
Wanajamvi niko safarini kijana wenu, tuombeane kheri nduguzangu,
Nawatakia wikiend njema wote.
Haya masomo mema, siye wengine tunavuta bado kidogo. . .
Dear Mtally,
Haya kasome. Mi nipo form v. Nikifika chuo nitakutafuta unipe madesa.
Safari njema Mtaly!..
@ Cantalisia mY SWEET WIFI mbona umepatwa na kigugumizi?
Mmmh napata walakni, habari yako zaidi.
Mi nilidhani unakwea pipa kumbe ni hapa hapa kwa Nyerere..Nashukuru ingawa nimeshafika ndugu yangu,
Msaidie kujibu wewe Wifie...
Haya kasome. Mi nipo form v. Nikifika chuo nitakutafuta unipe madesa.