Naenda chuoni...

unamsalimia Canta wakati unajua nina ugomvi naye.

Aliniibia bwanangu rejao
ila nilikuwa simpendi saaaana, kilikuwa kidumu.
Ohhh Kongosho ma dia...
kumbe bado unaugulia maumivu? Usijali, kodi ya nyumba nitaendelea kukulipia, gari nitakuwa nakuwekea mafuta pia
 
Tukiguswa au kujisikia walau tukutumie vijiposho hata vya crdt, kwa dhamira ya kujenga mapenzi ya kindugu , tukupateje ?
Note : not jokes naheshimu nnachokisema, leo kwako, kesho kwangu.
 
Ni PM, ntakupa contact wala usijari nami pia ntashukuru kwa yote...
 
Tukiguswa au kujisikia walau tukutumie vijiposho hata vya crdt, kwa dhamira ya kujenga mapenzi ya kindugu , tukupateje ?
Note : not jokes naheshimu nnachokisema, leo kwako, kesho kwangu.

mme wangu kweli una upendo. msaidie dogo asije akasupp bure kisa bum kwishney.
 
Wife nimekupata, hua naguswa sana, na maisha ya Skuli/Chuo na yafananayo na hayo.
Coz nayakumbuka utamu & uchungu wake.
O/wise hua naiheshimu sana misemo kama :
> Mfae kwa Jua, huenda nae akaja kufaa kwa Mvua.
> Kupeana ni kikoa, leo kwako kesho yaweza kua kwangu.
 
Back
Top Bottom