Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
hahahahahah!! si unajua tena tupo kwenye zama za sayansi na teknolojia
Soma mwaya bi shosti, usije ukawa mwanaasha wa form vi alafu ukasingizia teknolojia....lol!!!
hahahahahah!! si unajua tena tupo kwenye zama za sayansi na teknolojia
kijana mbona ulisahau tranka lako hapa dukani???
Weekend yangu iko poa kabisa, pole na safari Mtally!