Naelekea Dar kwenye interview ya NSSF natokea Kigoma, maombi yenu wana JF tafadhalini

watu wakienda kwenye interview huwa hawatangazi.interview ni kama uchumba.unaoweza kuwashirikisha labda watu wako wa karibu sana,na wakati mwingine hushirikishi mtu,haswa pale ambapo hakuna ulazima.Na sio kuanika habari publicly.ni ushauri tu.ukitaka chukua,ukitaka uache.
 
Ooohhhoooooooo!!!!
 
Back
Top Bottom