Nadhani wakuu wa mikoa na wilaya wa awamu ya tano walikuwa na kazi zaidi ya kazi zao

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,995
Iweje wengi wahusishwe na uporaji, unyanyasaji, upokaji ardhi, mali, magari na mengi mabaya kinyume na katiba yetu?

Kwa haya inanishawishi kuona ya kwamba viongozi hawa huenda walikuwa chini ya agenda maalumu na mkakati madhubuti wa sirini including illegal cash collections na kadhalika.
 
Mpaka TRA, POLISI, TISS, TANAPA NA PCCB walikuwa nje na kazi zao
 
KUlikuwa kuna yale majambazi kama Sabaya, Makonda, Gambo etc yalikuwa yakijiona kama mungu mtu na yameonea sana watu na kuna tuhuma hata kuua yameua, idara za serikali kama TISS na police ilikuwa kama dark days
 
Back
Top Bottom