NACTE, check in progress

Nisaidieni jamani kwani kama chuo kimepeleka majina nacte kwamba nataka idadi ya wanafunzi kadhaa hio not confirmed inatoka wapi? Inamana nacte hawana mawasiliano na vyuo? Wananiweka roho juu kweli
 
Nisaidieni jamani kwani kama chuo kimepeleka majina nacte kwamba nataka idadi ya wanafunzi kadhaa hio not confirmed inatoka wapi? Inamana nacte hawana mawasiliano na vyuo? Wananiweka roho juu kweli

wananiongezea pressure tu! niliyonayo inanitosha nacte kuwen straight mbona hv jaman?
 
yaani..kuna watu mpaka leo..mnaangalia profile zenu?duu..mie nishasahau.na nishachukua adm letter
 
Jaman me mbona wameniambia nirudie kuomba?? wakati kipind na apply course zilikuwa na nafasi??
 
Jaman mimi 29/9 ilikuwa wameconfirm iringa university but leo wanasema not yet na hata majina yalio kwenye web ya chuo sipo. Nahic wanatuchezea akili kwakweli mi naanza kuwahic wanataka chuon twende mwez wa kwanza cjui
 
kwahiyo unatucheka,unatukejeli au unatudhihaki?

Kwan pale kwenye website ya tcu mmeangalia mkakosa majina? au mpka confirmation ya profile,,mana mm kwenye profile langu bdo confirmation lakn kwenye website lipo jina sasa hapo sijaelewa
 
Back
Top Bottom