NACTE, check in progress

3024

Member
Oct 18, 2012
45
4
Habari wakuu, kwa tulioomba undergraduate programs kupitia nacte mimi mbona mpaka sasa profile yangu inaonyesha CHECK IN PROGRESS na nacte walisema kuanzia jumatatu ya leo tutaona kama tupo selected au laaa,hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu kama mie?maana ni saa kumi na moja jioni sasa.
 
habari wakuu, kwa tulioomba undergraduate programs kupitia nacte mimi mbona mpaka sasa profile yangu inaonyesha CHECK IN PROGRESS na nacte walisema kuanzia jumatatu ya leo tutaona kama tupo selected au laaa,hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu kama mie?maana ni saa kumi na moja jioni sasa.

Mimi nilikuwa nimeandikiwa selected but not comfirmed ila kwa sasa wameniandikia confirmed nimechaguliwa mzumbe bachelor of health services management
 
Mimi nilikuwa nimeandikiwa selected but not comfirmed ila kwa sasa wameniandikia confirmed nimechaguliwa mzumbe bachelor of health services management

hongera zako mkuu sisi wengine majanga tu hadi muda huu
 
majina..yameshatoka..cheki nacte.utaambiwa uingize form 4..index no yako..watakuambia upata chuo gani..mie nimeangalia leo..na nimekuta..nimechaguliwa..hapo dar..chuo flan
 
habari wakuu, kwa tulioomba undergraduate programs kupitia nacte mimi mbona mpaka sasa profile yangu inaonyesha CHECK IN PROGRESS na nacte walisema kuanzia jumatatu ya leo tutaona kama tupo selected au laaa,hivi ni mimi tuu au kuna wenzangu kama mie?maana ni saa kumi na moja jioni sasa.

me too!
 
jamani jamani.web ya nacte hamuijui?then ukiifungua tuu..utaona selected aplicants.sasa clic hapo hapo....
 
Back
Top Bottom