Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

Joannah

JF-Expert Member
May 8, 2020
18,453
42,575
Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi?

Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema bibi anaua watoto wa mwanae.

Basi eti mke analia, mume ambaye ndio mtoto wa mama mkwe anajifanya haelewi Kwanini mama yake anakula watoto, hiyo drama Sasa ya huyo bibi mla wajukuu sasa anavyoongea🥺

Basi nabii akapiga maombi kwenye simu , mtoto wake anasema kwenye simu bibi kala mweleka, damu zikaanza Toka puani, nabii ananena Kwa lugha na kumpa option mbili, afe au aseme ukweli, bibi ndio kuanza kusema Samahani, nimekumbuka Leo,Basi anaambiwa arudishe mtoto.
Sasa basi mtoto aliyefariki kaombewa na nabii Ili afufuke, basi mtoto si kafufuka bwana,
was a Nice Drama! Hiiii kuchelewa kulala Kuna mengiii.....

Anyways, naomba tukipata muda tutafakari mstari huu

MATHAYO7:15-29.
 
Mwambie Nabii nina million 100 amfufue kuna mzee mmoja anilipe hela yangu tu halafu yeye Nabii atajua la kumfanya huyo mfu.

Akili za masikini ndio hufikwa na hawa manabii mwenye lishe bora hawezi kuwaamini hawa wachawi wa mchana.
 
Samahani nabii Kiboko ya uchawi
,mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi?Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa...Eti bibi katoka kijijini amefikiwa Kwa mwanae, watoto watu wamefariki,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema bibi anaua watoto wa mwanae,basi eti mke analia,mume ambaye ndio mtoto wa mama mkwe anajifanya haelewi Kwa Nini mama yake anakula watoto,hiyo drama Sasa ya huyo bibi mla wajukuu sasa anavyoongea🤣🤣🤣🤣🤣,Basi nabii akapiga maombi bibi kala mweleka,damu zikaanza Toka puani,nabii ananena Kwa lugha na kumpa option mbili,afe au aseme ukweli,bibi ndio kuanza kusema Samahani,anaambiwa arudishe mtoto,Sasa basi mtoto aliyefariki kaombewa kafufuka yaani bibi kamrudisha,,,,basi mtoto si kafufuka bwana.......,was a Nice Drama!hiiii kuchelewa kulala Kuna mengiii.....
Anyways ,naomba tukipata muda tutafakari mstari huu

MATHAYO7:15-29.
Bado hamjachelewa karibuni kwenye dini ya kweli (Islam) .
 
Daaah..... Elimu kweli ni kitu muhimu. Mwandishi hana tofauti na huyo nabii. Anaandika pumba na hakuna anachoeleweka kama anasimulia watoto wenzie huju akicheka cheka. Kwa nini hampendi kuwa na akili?
 
Niliisoma baada ya dakika kama 10 hivi baada ya kuwa posted nikadhani labda usingizi unasumbua. Nimesoma tena muda huu kwa kweli uandishi ni TATIZO!!!! Angetulia labda angeandika vizuri.
 
Niliisoma baada ya dakika kama 10 hivi baada ya kuwa posted nikadhani labda usingizi unasumbua. Nimesoma tena muda huu kwa kweli uandishi ni TATIZO!!!! Angetulia labda angeandika vizuri.
Una kichwa kigumu sana!ulimsumbua sana mwalimu wako wa STD one.....hiyo inaitwa fasihi simulizi unataka utafuniwe na umezeshwe!ndio maana mnafelifeli tu watoto wa siku hizi
 
Back
Top Bottom