Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
kuna ukigeu geu..subiri kwanza hadi tupate katiba
View attachment 47449
fully ****.pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa
1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.
2.JK aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini JK alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.
3.JK tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha Mkapa. Mkapa angesha muweka ndani Mr.JF na Mwanahalishi+Mwanaichi+Tanzania daima
Note: Kwa sasa JK anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
JK alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
Dr Slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa
yote tunayoyasema kuhusu ubovu wa JK ni kweli ila angekuwa Rais mwingine asingekubali kuambiwa huu ukweliHivi tukisema kweli wewe unaziita mbofu au ni matusi! Hivi kumwambia baba mwanaasha ni mtembezi ni mbofu! kumsema kuhusu mambo yanavyoenda ovyo ni kumtukana . Eh ! una lako jambo .
Lakini ukweli ni huu suala la Katiba Mpya mfano wake ni huu
ni kama vile amezaliwa binti au kijana atakuwa ! itawafika wakati binti ataota matiti na mvulana ataota ndefu. Vitu hivi hakuna mtu mwenye uwezo wa kuvizuia au kuvichukulia maujiko kwani ni badiliko muhimu la mwili ambalo halizuiliki.
Katiba mpya na mambo mengine kama kujenga barabara, huduma bora za Afya , elimu nk. Ni hatua muhimu za ukuaji wa taifa hivyo hata kama tusingekuwa na baba Mwanaasha au yeyote yule ni lazima tu vi face. sema tu hawa wakora wanavihujumu kwa kuchelesha lakini they can not stop it.
sawa JK kachochea udini ila kupeleka dodoma mswaada wa cdm hata kama wabunge wa ccm wameupiga chini ni jambo jema na ukizangatia uelewa mdogo wa JK kwa kweli anastahili pongezi kwa katiba sagaPamoja na mambo haya kunivutia na kumwongezea credit mheshimiwa Rais. Bado nayaona mapungfu mengi sana katika serikali yake. Mimi nakerwa sana naposikia habari za udini katika uteuzi wa nyadhifa mbalimbali kubwa, pia taasisi nyingine. Kama ni kweli Rais anailea tabia hii tutakuwa na Tanzania ya kama nigeria kaskazini
pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa tz kwa
1.namna anavyoichukulia hii ishu ya katiba-jk alikubali kuyafanya mapendekezo ya cdm kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa ccm waliigomea serikali lakini jk personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.
2.jk aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini jk alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.
3.jk tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha mkapa. Mkapa angesha muweka ndani mr.jf na mwanahalishi+mwanaichi+tanzania daima
note: Kwa sasa jk anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
jk alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
dr slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa
pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa
1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.
2.JK aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini JK alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.
3.JK tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha Mkapa. Mkapa angesha muweka ndani Mr.JF na Mwanahalishi+Mwanaichi+Tanzania daima
Note: Kwa sasa JK anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
JK alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
Dr Slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa
pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa tz kwa
1.namna anavyoichukulia hii ishu ya katiba-jk alikubali kuyafanya mapendekezo ya cdm kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa ccm waliigomea serikali lakini jk personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.
2.jk aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini jk alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.
3.jk tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha mkapa. Mkapa angesha muweka ndani mr.jf na mwanahalishi+mwanaichi+tanzania daima
note: Kwa sasa jk anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
jk alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
dr slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa
Hahaaaa! Malaria Sugu una ID nyingi sana aisee. Ila naona umejisahau mpaka umetumia hii id kwenye jukwaa la siasa.