pamoja na mapungufu mengi aliyonayo jk anaelekea kuibuka rais bora wa Tz kwa
1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.
2.JK aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini JK alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.
3.JK tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha Mkapa. Mkapa angesha muweka ndani Mr.JF na Mwanahalishi+Mwanaichi+Tanzania daima
Note: Kwa sasa JK anastahili pongezi kwa kuwa ni mtu mwenye mapungufu mengi mno ila ameweza kufanya kidogo kilicho bora
JK alikuwa na perfomance ya 20% ila kwa hizo issue hapo juu amefika walau 30%
Dr Slaa ni mtu mwenye excellent scores above 80% kwa hiyo anapofanya jambo zuri hastahili pongezi kwa kuwa huo ni uwezo wake na ikitokea akiharibu hata kidogo mno tutamlalamikia sana kwa sababu tunajua anauelewa mkubwa