Aliye tengeneza sanamu ndie wa kulaaniwa ! '' Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu'' 1 Wakor 10:14Kweli picha kama hiyo haina maana nzuri kwani hata aliyepigia picha kama hiyo mbele ya hiyo sanamu atalaaniwa!
Sie hatupendi mzaha kwenye mambo ya msingi ! Welichekewa huko nyuma wakaichoma Tourat yote, kisha wakachoma Injil yote, sasa imebakia ''kumbukumbu la Tourat na Agano jipya'' Kisha wakadai wamemuona Mungu hapa Duniani !Wangekuwa WAZEE WA UBWABWA ingekuwa balaa. Wangelipuka na kuandamana kuanzia kwa mtogole mpaka jangwani na kuchoma bendera za marekani na israel.
Aliye tengeneza sanamu ndie wa kulaaniwa ! '' Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu'' 1 Wakor 10:14