Naacha pombe na kutubu dhambi

nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu aka pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....<br>pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....<br>kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....
<br>acha na nanihii kabisa
 
Congs YOYO, let it be signed, stamped and sealed in ur life as u have written in Jesus name. Amen
 
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....

Ni utoto tu unakusumbuwa.
 
hata ukicha dhambi unazo alafu sio unaacha pombe kisa unahisi unadhambi ila ni kutokana hautoweza kununua mana bajet tayari imeshakuzid kipato so pole sana kina jaribu kuongeza kipato ili unywe hata bia moja
 
Kuna upotoshaji hapa.. Wote wanaoumwa kisukari ni sababu ya pombe? Umefikiria kwamba inawezekana ndugu zako wanaumwa kisukari kwasababu ya suala la vinasaba? Kitu gani utakachokitumia leo ambacho hakina madhara au sumu? Sukari ni tamu, wajua madhara yake?

Ni kwa vip pombe inakufanya masikini? Unajua kuna umri fulani, unabidi uongeze mapato na sio kufikiria nini usifanye ili usiwe maskini. Pia kuhusu ukimwi tunaisingizia pombe kama vile tunavyomsingizia shetani kwa kila kitu. Kitu unachokifanya ukiwa umelewa ndicho unachokuwa unakifikiri wakati wote, labda huwa hatufanyi kwasababu tunaona aibu na uoga. Nimesikia watu wengi wanakorofishana na wenzao na kusema "ngoja nikamnywee pombe atanikoma!". Kama unaacha pombe, acha tu, lakini usilete visingizio na usijisingizie, hakuna atakayekuuliza kwanini unaacha maana hapa duniani kuna vinywaji vingi (soda, chai, maziwa, juisi, bia,n.k) na vyakula mbalimbali (hadi chura na nyoka) na hauwezi kunywa au kula kila kitu.
 
nakuunga mkono. Binafsi nilikuwa kama wewe. Sikuwa na weekend wala wikienda. Ilikuwa ni ulabu kila siku. Ila sasa nimepunguza. Nakunywa jumamosi tu tena kidogo, na pia pale ninapokuwa out. Ila kuacha ni ngumu. Nashauri utangaze kupumzika.
 
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....

Hongera zako na kila la heri katika juhudi zako za kuachana na kilaji.

YouTube - &#x202a;The Whispers - Keep On Lovin&#39; Me Official Video&#x202c;&rlm;
 
Nachukua fursa hii kutangaza rasmi kuwa naacha kupiga ulabu AKA pombe kwani nimeona haina deal zaidi ya kuniweka karibu na kaburi.....btw ive seen most ya my relative wana suffer kwa magonjwa ambayo tunaweza kuyazuia kama kisukari......people are suffering aisee cus ya pombe....
Pia pombe inanifanya niwe maskini na uwezekano mkubwa wa mie kupata ngwengwe.....
kwa hiyo na nyie niungeni mkono wadau......home kwangu kuna wine imebakia kama kuna mtu anaitaka aje nitampatia....

Nashukuru sasa wapiga mizinga wanapungua....ooohh Mchungaji nina hangover nisaidie za supu hakuna.....good decision thou
 
Ule muda wa kwenda bar uwe wa kwenda ibada... karibu sana kundini.
 
Kipato kimeyumba huna lolote. Njoo nikutoe out ile niliyokuahidi siku ile ulivyokuwa umeishiwa
 
nadhani ameshpata news kwmba bia itauzwa 2500, kuanzia mwez wa 7 so ts bet aji niaje niaje mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom