Naacha pombe na kutubu dhambi

Yaonekana dogo hana msimamo wala kumbukumbu huyu!!! Sijui ni usharobaro tuu unampelekesha au ndiyo tena kama ilivyo kawaida yake, pale mshkaji wake anayempatia viofa vya mitungi anaporudi masomoni India.... kuweweseka kwiiingi na kujitungia tungia vi sredi vya kujiliwaza... anafikiri wote humu tunakumbukumbu fupi kama za mijusi alizo nazo yeye...

Ni muda kama huu huu, mwezi wa sita, miaka mitatu iliyopita alikuja hapa na ki-sredi chake cha kuacha dhambi... sasa sijui ni kipi tena kilimrudisha kwenye mipombe hiyo kama siyo usahaulifu na kukosa msimamo??!!!

Jisomee hapa aliyoandika wakati huo kama una muda, ndo utajua kuwa dogo huyu kesha data!!
 
Ala, kumbe huyu Jamaa ni mtu wa Kutapatapa ati!
Hawa ndiyo wale wanaoitwa "wasiojitambua", mbaya sana kuwa katika hii hali...
 
Yaonekana dogo hana msimamo wala kumbukumbu huyu!!! Sijui ni usharobaro tuu unampelekesha au ndiyo tena kama ilivyo kawaida yake, pale mshkaji wake anayempatia viofa vya mitungi anaporudi masomoni India.... kuweweseka kwiiingi na kujitungia tungia vi sredi vya kujiliwaza... anafikiri wote humu tunakumbukumbu fupi kama za mijusi alizo nazo yeye...

Ni muda kama huu huu, mwezi wa sita, miaka mitatu iliyopita alikuja hapa na ki-sredi chake cha kuacha dhambi... sasa sijui ni kipi tena kilimrudisha kwenye mipombe hiyo kama siyo usahaulifu na kukosa msimamo??!!!

Jisomee hapa aliyoandika wakati huo kama una muda, ndo utajua kuwa dogo huyu kesha data!!

Ha ha ha ha ha umeua mazima atajibeba huyu mluya sijui mkarenjini, sijui kikuyu sijui mkamba
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom