Na mkojo hautoki

Che Kalizozele

JF-Expert Member
Jul 20, 2008
777
49
Kuna mzee mmoja alikuwa ameenda hospitali,baada ya kumuona daktari akaambiwa akapime malaria.Huko maabara akakutana na nurse ambae alimtoboa kidole ili kupata damu itakayotumika kwa ajili ya vipimo.Bahati mbaya damu ikawa haitoki,ikabidi yule nurse akinyonye kidole cha babu mpaka damu ikatoka.Kumbe babu wakati kidole kinanyonwa alikuwa akisikia raha,si ndo akamwita nurse.

Nurse.......Babu akaita.
Abee babu......nurse akaitika

Na mkojo hautoki.....Babu akasema
 
mkojo upi mwepesi au mzito usiotoka KWA MTAZAMO WANGU HUYO NESI AKITUMIA HIYO NJIA MANUAL UTATOKA MZITO
 
mkojo upi mwepesi au mzito usiotoka KWA MTAZAMO WANGU HUYO NESI AKITUMIA HIYO NJIA MANUAL UTATOKA MZITO
...Na huenda idadi ya wagonjwa wa kiume ikawa kubwa zaidi katika hiyo hospitali....Teh! teh!tehhhhhh!!!!
 
Back
Top Bottom