Na imani wengi mmeboreka leo kama mimi..................

hukuwa na sababu ya kutukana,hoja ijibu hoja


tupo sana mama mia,ndo mpango mzima

noted


hahaha hapa inaelekea 3 month tangu lile tukio ..hivi kumbe wewe na mheshimiwa ni ndugu
teteteteh Binamu Geoff nasema pole pole eeh
 
Hivini kweli kuwa hiyo hotuba aliandikiwa na mtoto wake makamba na kumuwekea hiyo hadithi ya mbayuwayu!!!!!!

Ni kweli, Makamba mzee alishawahi kutupa huu mfano alipokuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro na wanafunzi wa IDM Mzumbe walitaka kugoma akaja kutupiga porojo zake.
 
Kwamba serikali yetu ni changa na uwezo wake ni mdogo kiasi kwamba kulipa kima cha chini 315,000 ni sawa na kumwambia xpin aache kunywa bia!
lakini za kufuja kwenye mabo ya hovyo hovyo zipo.......!!!
 
Kwa kweli kama kuna siku niliumia ni siku ile nikawaza kamshahara kangu kadogo.halafu mkuu wa nchi anatuita mbayuwayu jamani.Na kingine ni wale wazee sijui walikuwa wanashangilia nini hasa nahisi mzazi wangu akikuwa pale siku ile ningemkana.Rais alitakiwa aongee lugha ya upole na ya kutuwashiwi tutaongeza kwa kiasi fulani kila mwaka wa fedha,amekalia kusifia mafanikio ya kipumbuvu ya kuionfeza 39,000 kwa miaka minne.Nadhani kuna haja ya wana harakati kuingilia hili hasa ule mkwra aliokuwa anattpiga wa firugu na ikibidi hata kuua.
 
Yaani kama pepa JK ana 15% bse kati ya issue 3 za TUCTA amedeal na moja tuu ya ongezeko la mshahara akakomaa nayo mpaka mwisho na mipasho yake ya apa na pale
 
Yaani kama pepa JK ana 15% bse kati ya issue 3 za TUCTA amedeal na moja tuu ya ongezeko la mshahara akakomaa nayo mpaka mwisho na mipasho yake ya apa na pale
Atajirekebisha kiongozi. Usisahau kumpa kura yako ifikapo Oktoba. Tumpe muda jamani.
 
Back
Top Bottom