Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,684
- 1,699
Baada tu ya uchaguzi wa Marekani kuisha na Barak Obama kuibuka mshindi kwa awamu yake ya mwisho mheshimiwa Nape Nnauye ali TIRIRIKA kwa mbwembwe nyingi sana akifananisha mambo mengi ambayo kimsingi ni tofauti sana na nchi yetu.
1. Nchi yetu TANGANYIKA inapata UHURU mwaka 1961 ilikuwa na majimbo MANANE wakati USA ikiwa na states kama HAMSINI, lakini leo wenzetu hawajaongeza STATE nyingine sisi tuna mikoa zaidi ya ishirini.
2. Barak Obama ni raisi wa USA wa 44 sie Jakaya Mrisho Kikwete ni wa 4 tu.
3. USA ni kubwa mno kuliko TANGANYIKA achilia mbali URT, uchaguzi hufanyika mchana na matokeo siku hiyohiyo wakati hapa petu ni mpaka siku TATU kama si WIKI na kadhalika.
Sasa MAOFISA wawili huko huko USA wamejiuzuru kwa KASHFA za MAPENZI tuu na raisi kakubali, NAMUOMBA HAPA NAPE ATIRIRIKE basi kuhusiana na hili.