N70 inahtajika

Tuwasiliane kwa*********_____*****
but yangu ina vigezo vyote uvijuavyo:-
>internet through operamin and uc browser.
>camera and video
>bible(CJV&Holy bible) and quran
>Am using also as moderm
>Ovi
>game za kutosha za maana.
>Uwezo mkubwa wakustore msg na namba
>Na vinginevyo vingi.
>Uliza kingine
>bei naanzia sh. 170,000
>hii nikutokana na ubora wake na version yake kuwa updated
>betri usipo2mia net kudownload move zenye uwezo mpaka mb 250 basi inakaa siku 3.
KARIBU KWA BARGAINING IF YOUR SERIOUS
 
Kaka nimekupata vilivyo,na nime interested but nitaongeza mwisho wangu 120 net, kama na wewe upo poa 0653 95 70 95
 
Kaka nimekupata vilivyo,na nime interested but nitaongeza mwisho wangu 120 net, kama na wewe upo poa 0653 95 70 95

Kaka nitaingiliwa kutokana na ubora wake, ninavyoandika sasa nipo kwenye bitlord na download move ya the orphant!! Ipo 22.1% now,Cy kwenye cm bali naitumia kama moderm!!
So angalia inavyopiga kazi hata hivyo napiga kwa hasara.ITUPIE TU HIYO 1.7 UiPATE Mwaya!! Nipo radhi nikusubiri uongeze basi hata ikifika 1.65 si mbaya nikila hasara.
 
Hiyo ya Mchina. Huwezipata N70 original ya Finland kama yangu chini ya 250,000!
 
khaaa n70 170 usanii huu watu hdi n73 wanabeba kwa 90 na haijatumika sana duh
 
khaaa n70 170 usanii huu watu hdi n73 wanabeba kwa 90 na haijatumika sana duh

Kaka Bei nliyonunua na ubora wake vinaendana si usanii kama vipi nitafute nikuoneshe inavyofanya kazi na vitu ilivyonavyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom