Mzungu na Mwafrika wakishirikishana uzoefu

Vitu tulivyonavyo waafrika mzungu hawezi kuchukua…Ndio maana ukionekana genious sana mzungu anakuchukua maana anaona kabisa hukustahili kuwa afrika yaani upo kwa bahati mbaya tu.

Uchawi,unafiki,umbea,uvivu na mengine mengi alafu bado unataka mzungu achukue nini hapa.
 
Hapana mkuu. Siyo kila Mwafrika ana hizo sifa ulizotaja. Naamini wewe huna hizo sifa "mbaya". Isitoshe, Mzungu naye hajakamilika. Naamini kuna mazuri anyoweza kujifunza kutoka kwa Mwafrika.
 
Hapana mkuu. Siyo kila Mwafrika ana hizo sifa ulizotaja. Naamini wewe huna hizo sifa "mbaya". Isitoshe, Mzungu naye hajakamilika. Naamini kuna mazuri anyoweza kujifunza kutoka kwa Mwafrika.

Kuna kitu kwenye hali ya maisha wanaita GDP kama sijakosea swala la uchumi sijui wa kila mtu…kiuhalisia ni hela ya wote inagawanywa kwa kila mmoja tunapata average ila kiuhalisia sio hivo. ndio kama hapa sasa.
 
Wote ni binadamu, kwa hiyo wote wana mazuri yao na madhaifu yao.

Unafikiri:

1. Kipi kizuri Mzungu alicho ambacho Mwafrika anapaswa kukiiga?

2. Kipi kizuri Mwafrika alicho nacho ambacho Mzungu anapaswa kukiiga?

Karibuni!
Wazungu wapunguze ushoga
 
Africa tulidivert na kufuata wakoloni wetu ndio maana hatana kipya mbele ila walipokuja walikuwa na kitu cha kujifunza ,ila baadae sisi tukafuata mila zao kuanzia elimu wale waliobaki na mila zao kama wamasai na wahadzabe wanalo la kuwafunza wazungu.
 
Back
Top Bottom