Benno Bongo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 608
- 668
Tusema ni maadili yao yapo hivyo ama ni political ideology yao kwamba wanatreat binadamu wote ni sawa? Maana naskia hata ukiishi uko wanakutreat kama wao na huduma zote unapewa as long as huvunji sheria zaoNorway aah nchi poa sana, Scandnavian wote wako poa. DENMARK, SWEDEN, NORWAY.
Hata washkaji nawashauri, ukitaka demu jaribu hizo nchi, utafurahi na nchi nyingine ni FINLAND wako poa sana.
nilikuwa najiona MBILIKIMO maana wale watu ni Warefu kwelikweli.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app