Mzizi wa fitna ukatwe leo, wanaume kujeni

Tatizo hali ya kiuchumi ya wanaume hairuhusu, na hali nzuri ya kiuchumi inapelekea lishe bora, hali dhoofu ya kiuchumi husababisha ugumu wa kuoa mke zaidi ya mmoja kwa maana ya kushindwa kuwahudumia equally.
Ila hilo sio kwa wote wapo ambao wanajimudu kimaisha ila wanadai imani zao zinataka mke mmoja.
 
That is being lazy. Two, meaning and belief are two different things. So, if there is something you believe to be true, it does not necessarily have to be the truth. To keep your mind racing have this for a start. Man=control/manage/supervise. In relation to the biological functions, you have to do a little home work though you hate it. If you fail, then i will have no option but to come to your rescue. However i encourage you to think to help you sharpen your brain.
u winded it up all,Man=control, manage,supervise.from these 3 key words I can now conclude on what I had in my mind.the thing is,niko upande wa mtoa mada kwamba as a man ntachepuka tu,so I had to know all those distinctive characters that will verify my conclusion.thank u.
BTW are a man?(I don't mean anything to ask this,I just wanna know your gender)
 
What do you think?
 
,Mungu ndiyo alimuumba mwanaume kuwa hivyo, sasa hofu ya mungu yupi unayoongelea ? Lazima mwanaume awe hivyo maana ni asili yake. Kama unataka kujua zaidi uliza swali ili nikujibu vizuri upanuke kiakili.
Mwanaume kwa asili ni polygamy kama ulivyo state kwenye post no 34,Hata babu zetu walioa wake wengi kwa sababu kibaolojia maumbile yanasukuma iwe hivyo. Production ya shahawa kwa mwanaume haina likizo. That's why hata dini ya Kiislamu imempa ruhusa mwanaume kuoa wake zaidi ya mmoja mpaka wanne kama uchumi na afya ya kiwiliwili vinaruhusu. Baadhi ya imani zingeondoa vifungo vya mume mmoja na mke mmoja ili wanaume wawe huru. Itatoa fursa kwa wanawake wasio na waume waolewe na si kuvizia mabwana wa wenzao.
 
tangu nimuo mke wngu miaka 5 iliopita sijawai msaliti ata siku moja ingawaje hapo kabla nilikuwa mtu wa mademzi sana na hata watu kuniambia wewe utaweza kuoa

ila kbla sijaoa nilijiuliza ninaoa kwa 7bu gani nikapata jibu kwanza nataka watoto lakini sio wa zinaa piri ni kwamba kupata mahara pa kujistiri na kwakuwa nimebadirika sitazini tena basi nikaoa na mpk sasa ipo hivyo yaan nafanya tendo la ndoa kwa ajiri ya faida si hasara wote twajua tendo la ndoa lina faida lukuki lakini tendo la ngono lina hasara zisizopimika kama unabisha jiulize tangu uanze kuzini wewe umeshapata hasara kiasi gani (si mwanamke si mwanaume) iwe kipesa kiafya kisaikolojia nk
japo dini yangu inaniruhusu kuoa wake wawiri au zaidi il niliweka nadhiri watoto wangu wote watakuwa wa mamammoja

hivyo basi ni maamuzi na akiri yako itakavyokuongoza sio kwa7bu eti MWANAUME sema akili mbovu ya mtu husika kama ilivyo yako
 
A man can never be gay because those you call gay are manned. so, they are not men.

It's good that you realize many of you are not manly enough.

The only solution is in Islam where you are taught to mary only one but if you can, you can marry two or three or four. Remember, that is marriage not fornication which is prescribed.

Wonder what does the church teaches, marriage of the same gender?

Pity.
 
Mwanaume kwa asili ni polygamy kama ulivyo state kwenye post no 34,Hata babu zetu walioa wake wengi kwa sababu kibaolojia maumbile yanasukuma iwe hivyo. Production ya shahawa kwa mwanaume haina likizo. That's why hata dini ya Kiislamu imempa ruhusa mwanaume kuoa wake zaidi ya mmoja mpaka wanne kama uchumi na afya ya kiwiliwili vinaruhusu. Baadhi ya imani zingeondoa vifungo vya mume mmoja na mke mmoja ili wanaume wawe huru. Itatoa fursa kwa wanawake wasio na waume waolewe na si kuvizia mabwana wa wenzao.

Waambie hayo kanisa katoliki kama watakuelewa.
 
mchezo was kucheat hauitaji hasira dada, sisi wanaume tunajuana ndo maana nimeita wanaume humu

Au hujui kila mwanaume ni mwaminifu kwa mke wake???

aliyekudanganya kama wanawake ni malaika ni nani? unavyojisifu unacheat una na nani? wanaume wenzako? kama unacheat na wanawake basi juahata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom