Mzinduzi wa Maonesho Ageuka Onesho

eti huyo hapo mkono wake wa kushoto ni nani vile jamani? mbona kama vile namfahamu? au na yeye anakwenda kwenye maonyesho.....!!! katabasamu bhana weee
 
Hivi tunahitaji huyo mzinzi kutufungulia maonesho yetu? Kweli ndege wanaofanana.................
 
kamati ya ujinga tena...lol...


Kama si ujinga ni kitu gani...utashabikiaje uvaaji gunia kuwa vazi la taifa? Cha kushangaza wenyewe wana kamati wanavaa suti na tai ila wanataka kulazimisha jamii wavae magunia. I understand kwa mmasai kuvaa gwanda lake kwani ile ni identity yake, huwezi kunilazimisha mimi nivae kama mmasai au mgogo kwa sababu tu unapendekezwa wewe, tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom