Mzimu wa Kanumba umeleta balaa

Benno

JF-Expert Member
Nov 21, 2009
332
51
R.I.P Kanumba

Ila umetuachia balaa, kama sio somo.
Jana nimeenda kwa dogo lasi umri kama wa mtuhumiwa ila yeye ni (22), mzee akagoma.
Nikajua ni uchovu wa kufuatilia mkutano wa CDM. Leo tena nimejikoki, ile natafuta skewness, nikahisi dogo ananikaba. Daa mzee toka asinzie kimyaaaaaa.

Nadhani idadi kubwa ya dogodogo itapigwa chini sasa maana kama kujifunza tumejifunza.
 
Haya tumekuelewa naona na wewe umeamua ku post so unnecessarily isije ikawa kisa.....:bange:
 
Jamaa anasema kwamba:

Jana alienda kwa mpenzi wake ambaye ki-umri anakaribiana na Lulu sema tu girlfriend wake ana miaka 22
,sasa katika ku-make luv jogoo akashindwa kupanda mtungi,so jamaa akaconlud ni uchovu wa mikutano aliyoudhuria ya CDM,lkn kesho yake akaenda tena kwa mpenzi wake katikati ya malovidavi demu wake akamuwekea mkono shingoni so ile pressure ya mkono akaisi labda anakabwa so jogoo tena akalala,mwisho anatoa maoni yake kwamba mabinti wadogo wadogo wenye age za kina lulu wataachwa sana na maboyzfriend wao kwa ajili ya tukio la binti lulu.
 
292179_364412413601976_100000996620706_1071487_920728393_n.jpg
 
Jamaa anasema kwamba:

Jana alienda kwa mpenzi wake ambaye ki-umri anakaribiana na Lulu sema tu girlfriend wake ana miaka 22
,sasa katika ku-make luv jogoo akashindwa kupanda mtungi,so jamaa akaconlud ni uchovu wa mikutano aliyoudhuria ya CDM,lkn kesho yake akaenda tena kwa mpenzi wake katikati ya malovidavi demu wake akamuwekea mkono shingoni so ile pressure ya mkono akaisi labda anakabwa so jogoo tena akalala,mwisho anatoa maoni yake kwamba mabinti wadogo wadogo wenye age za kina lulu wataachwa sana na maboyzfriend wao kwa ajili ya tukio la binti lulu.

Unafaa sana, wengine hatuwezi longo longo nyingi. Tunajaribu ku summarize
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom