Mkuu kama ulivyosema huyu ni MZEE. Mimi nilishangaa kuwa bado wanampa majukumu makubwa kama ya uenyekiti wa tume ya Katiba. Age is catching up. Ilikuwa wakati wake kupumzika na kula pension yake. Hakutakiwa kuingia tena katika masuala yazito kama Katiba. Anyway namuombea apone haraka alafu amwambie Rais "I am not fit for this job"