Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

Mkuu kama ulivyosema huyu ni MZEE. Mimi nilishangaa kuwa bado wanampa majukumu makubwa kama ya uenyekiti wa tume ya Katiba. Age is catching up. Ilikuwa wakati wake kupumzika na kula pension yake. Hakutakiwa kuingia tena katika masuala yazito kama Katiba. Anyway namuombea apone haraka alafu amwambie Rais "I am not fit for this job"
 
Zaidi ni kuwa, Mzee (Dr.) Salim pia alikuwepo.

Member mwenzetu Omar Illyas alikuwepo nimemwona kwa mbali. Baadae Mzee Warioba aliweza kuinuka na kutembea mwenyewe kwenda kwenye gari ili awahishwe hospitali.

Yatakayojiri baadae tutafahamishana.
 
Wakuu,

Taarifa ambazo zimenaswa toka Serena Hotel ni kuwa Judge J. S. Warioba (Mwenyekiti wa Tume ya Katiba) ameanguka ghafla pale hotelini na sasa amekimbizwa hospitali.

Sipendi kuandika 'tetesi' za kuanguka kwake isije ikachukuliwa kama kuihukumu hoteli lakini muda si mrefu ukweli utajulikana.

Tumwombee afya njema mzee wetu


Plz n00b. That is alarming. Habari kubwa sana huanza na tetesi. Unatufanya tununue uwezo wa ziada wa kukuvumilia mpaka utakapoamua kuzisema hizo tetesi zako za sababu ya kuanguka ghafla kwa Mwenyekiti wa Tume ya Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya, Makamu wa Kwanza Mstaafu, Waziri Mkuu Mstaafu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu Mstaafu.

Tunasubiri kwa hamu sana tambu hilo na ukumbuke kuwa ni deni hapa.
 
huwezi husisha na siasa, kila chama na wananchi wanahitaji katiba mpya. Kumuombea 2 afya njema.
 
Janjaweed una ufahamu wowote wa stahili za Waziri mkuu mstaafu au umeamuwa kuropoka tu?

stahili na kudondoka hazihusiani..... waweza kupata stahili maradufu na ukaanguka na watu wasijue mfno mzuri ni Dr. salmin Amour tumekuja kujua wakati hali mbaya

Waweza pata stahili zote na bado ukawa na matatizo ya kiafya....

tofautisha stahili na umaarufu aisee.... Steve Nyerere hana stahili hata za diwani, lakini akidondoka tutajua, hata kabla ya cleopa Msuya

nadhani wewe JB Wiser ndio unaropoka kwa kushindwa kuelewa mantiki ya post yangu....

sio kila mtu aje na kusema get well, hapana, tutapata wapi mawazo mbadala??? historia inaonyesha bau warioba alikua mvuta fegi sana, pombe kali, lishe ndogo vyote hivyo ni risk factors (sijui kama ameacha) na ndio maana nikasema huwenda alishadondoka tena hatukujua

think think think....
 

Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom