Mzee wa kiraracha na cdm wanatofauti?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Nakumbuka Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha Mzee Ruksa alikuwa na tabia ya kutoa amri za siku 7 au 21! jee hizi amri za CHADEMA za kutoa siku 7, 9 au 21 zinaashiria nini? Jee zinatofauti yoyote na zile amri za Mrema?
 
hii post kama vile imechacha
i reserve ma comment on this stupid post. get lost
 
Back
Top Bottom