Mzee Tembo aghaili kuoa siku ya harusi.

Bra-joe

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,562
986
Siku moja Tembo alipanga kuoa, katika sherehe yake ya harusi alisisitiza wahudhurie wanyama wakubwa tu, siku ya harusi Panya akatia timu mapema na kuketi ktk kiti cha mbele, Tembo alipomuona akamuuliza " wewe huna taarifa kwamba wanyama wadogo hawaruhusiwi ktk harusi hii?" Panya akajibu " hata mimi kabla ya kuoa nilikuwa na mwili mkubwa kushinda hata huo wako, misukosuko ya ndoa ndoyo imenifanya niwe hivi" Tembo kusikia hivyo, aliingia kitaani kuwatangazia wanyama kwamba ndoa hakuna na kamwe hawezi kuoa.
 
Misukosuko ya ndoa kiboko, unakuta mtu kama John Komba akioa tu anakuwa kama Joti.
 
kwahiyo mpuga haujaliwa?ila sema kweli panya anapitia maisha magumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom