Mzee Mwinyi na JK wanastahili U-Daktari

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Ndugu zangu,baada ya Mzee mwinyi kukamata nondo watu wanasema sana, lakini tuwe waungwana mzee huyu na JK kwa kuongoza tu taifa wanastahili kutunikiwa degree hizo. Hiyo ni kutokana na majukumu yao na challenge walizopata katika uongozi,hiyo ni halali yao watu wasibeze eti za kupewa ipi sio ya kupewa.
 
What constitute the intersept between the two make a very interesting story of their era in the helm and their honored "doctorates". Who honored Mwinyi? Am just curious cause Am just learning about that here.
 
tatizo sio kubeza mkuu bali ni uhalisia wa mambo na hadhi ya PhD (labda zao tuziite 'phd'). Hapa namaanisha kama mtu alikuwa na Diploma kwa nini asipewe Bachelor Degree?, na kama ana Degree kwa nini asipewe Masters? na kama ana Masters basi ndio apewe PhD. Kama ana PhD (Kama (mfano) Dr. Slaa basi apewe Prof.
Hili suala la kuwatoa watyu STD VII na kuwapa hizo heshima matokeo yake zinapoteza hata nia na matokeo yake watu wataleta issues za Prof. Maji Marefu

Back
Top Bottom