Mzee Kipara amekufa

Status
Not open for further replies.
sio kweli mzee kipara hajafa..story na status za fb ni kama headings za magezeti pendwa utakuta heading kuubwa ''raisi afumaniwa na mke wa mtu''ukifunua kusoma ndani unakuta kumbe ni raisi wa solo,zumna na draft kata ya kiembe mbuzi vingunguti..aaah msiwe mnatuletea storiez na status za fb humu..
 
roho ya marehemu ipumzike kwa amani mahali pema peponi na mungu amwangazie mwanga wa milele.amina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom