Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

"CCM IMECHOKA, IMEISHIWA PUMZI WALA HAIJADILI TENA ISSUES, IKAE PEMBENI, IPUMZIKE" - Mzee Kigunge
 
Kunasiku nilirudi nyumbani nikakuta kipaka changu kimetoroka nikasikita kidogo lakini sikupungukiwa na kitu.
Maisha yaliendelea kama kawaida.
 
Ndo maana Leo arusha mumemgeuza mgombea wenu maana akipewa nafasi ya kueleza Sera, mwaka huu mtaelewa tu,
hivi wewe hujui kuwa hata leo hii lowassa akiamua kulala nyumbani asipige kampeni atashinda tuu?tulishamuelewa hata akiongea dk.mbili zatosha hata asipoongea kabisa
 
Ukweli ni kwamba nguvu za Giza zimetumika kwa miaka mingi na mwisho umefika, watu hawana Pa kushika.
Ufalme umefitiniks
 
Kadi #7 mi nikajua ana fuata baada ya Jk Nyerere na Karume. Kumbe 7. Enzi hizo kulikuwa na akina Kambona ambaye Ali enda na Nyerere 1961 kwenda kuomba uhuru UK na bado aka ondoka CCM na CCM ikabaki. Na Kambona ni kadi #4 sasa wewe #7 una mtingisha nani.
 
CCM bye bye for now, mama yetu TANZANIA anahitaji mageuzi ya kiuchumi na kimkakati sio tena blah blah blah nyingi. Sawsawa
 
Bulembo, Brother Mako, kuna babu kaja kucheza cha ndimu, hebu mpigeni matobo na kanzu akigeka, mtama maana kayataka mwenyewe. Aliacha kupanda jukwaani enzi za Mkapa halafu aje leo tene kumnadi fisadi,. sijui ana jipya gani. Ukiona mtu mzima analazimisha shikamoo, ujue kuna kitu kinapungua kichwani.
 
Back
Top Bottom