Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

Kingunge-1972 akiwa RC wa Singida kwenye marekebisho ya Katiba kuhusu wabunge wanaoteuliwa kuwa wakuu wa mikoa,kwenye caucus ya chama iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Kawawa alipinga marekebisho ya katiba yenye lengo la kulinda maslahi ya wachache!!!

Hata kwny Jaribio la kumkata Jk 2005 huyu Kingunge na Zakia Hamdan Meghji ndio waliosimama kidete hata kufikia kumvunjia heshima Mzee mkapa na kamati kuu, huyu mzee Mgongoni kwake kuna Pricce tag huhitaji ku bargain nae
 
Yaani wanasiasa wanatuona wananchi hatuna akili, huyu Mzee ujana wake wote amekula ccm Bila kuhoji leo anajifanya kuichambua ccm baada ya mtu wake kukatwa.
 
Kingunge-nilikataa mswada na hata mbele ya Mwalimu na Mwalimu aliniunga mkono,siku ya pili ikatangazwa Kingunge kafutwa kazi ya Ukuu wa Mkoa!!

Kwenye masuala ya msingi huwa sitetereki!!
 
Hii ni series ya wazee wa ccm kila wiki kabla ya uchaguzi kuita live press na kuibomoa ccm.

Wiki ijayo atakua mkubwa mmoja toka mikoa ya nyanda za juu kusini kuhama chama na kuibomoa ccm,alikua mmoja wa wagombea, atamalizia kwa kuwataka watu wwke na wa kwao wqmpe kura mteule lowassa.

Ccm kwisha habari yenu.
 
Kingunge.....kwenye maswala ya kimsingi mimi huwa sitetereki. Sikubalini na yaliyotokea tare 10 na 11 dodoma. Kilichofanyika ni uvunjifu wa katiba na kuwadhalilisha wagombea wenye haki kwenda kuhojiwa kamati kuu
 
Kingunge-sikubaliani na kilichotokea 11 na 12 July Dodoma,katiba ilivunjwa na wagombea uraisi walidhalilishwa!!!
 
Mzee wetu mwanasiasa mkongwe kingunge anazungumza na waandishi wa habari muda huu live ITV. Tumsikilize kwa makini na tuheshimu maneno yake kwa sababu huyu ni mkongwe maneno yake tusiyapuuze!
 
Kodi halipi anauza maji kwa siku si chini lori 20
Kwa siku Lori moja Tshs.60,000 x lori 20=Tshs.1,200,000
Kwa mwezi siku 30 x Tshs.1,200,000=Tshs.36,000,000

Mzee anaingiza si chini ya milioni 36 kwa mwezi.Sasa angalia Tin yake ni NIL.TRA MWENGE fuatilia huyu mzee
 
Anasema kilichotokea Dodoma ni kudhalilisha wagombea. Alisema baada ya wagombea kuzunguka mikoa yote walikuja kuishia mlango wa NEC
 
Kingunge....wagombea walidhalilishwa kusumbuliwa kwenda kuzunguka mikoani halafu mnawafungia mlango kwenye kamati kuu. Ni kuwavunjia heshima na utu wao
 
Ssa mnashangaa nn tena , kwani hamkuritarajia hilo au ndo mnataka kutengeneza attention, hata mdogo wangu wa miaka sta anajua kingunge lazma aondoke ccm
 
Back
Top Bottom