Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

Kingunge-mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM ulikuwa na matatizo,katiba haikufuatwa!!
 
Mchakato wa kumsikikiza mgombea na kamati kuu kumsikikiza kika mgombea ili kubata best nominee haikufatwa
 
Anaanza kwa kuzungumzia mchakato wa kumpata mgombea wa ccm, anasema ulikuwa na kasoro, anaanza kuzitaja. Nitawajulisha zaidi
 
Mzee hakupendezwa na mchakato wa kumpata mgombea wa Urais, anasema ule mchakato ulikuwa batili!
 
Kingunge: anaongea na waandishi wa habari ITV..

Majina matano ya Urais, CCM yalitolewa ktk kikao cha KATIBU MKUU tu, wengine 33 waliishia mlangoni tu... kinyume na taratibu kabisa

Wengine 33 hawakupewa nafasi ya kufika
KAMATI KUU...

WALA hawakusikilizwa... hivyo walichagua majina matano kinyume na Taratibu...
 
Back
Top Bottom