Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72.

Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya.

Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba.

Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya Maoni. "Kazi kwenu"

Pia ameshauri tukitaka Mchakato mpya kazi kwetu.
 
Back
Top Bottom