Mzee Baghili mwengine!

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Jamaa Baghili Siku ya Sikukuu alienda kununuwa Mbuzi Kufika Bei aliyoambia kama kawaida yake ikabidi afanye juu chini ishushwe akapewa kwa Bei Rahisi sasa kufika kwa mchinjaji sasa alimtafuta mwanae mkubwa achinje... katika kuchinja Mbuzi akachinjwa akataka.. akata vitu vya mbuzi ifanywe kama hivi. akasema

kichwa macho ulimi atakula supu yake yeye mwenyewe

Ngozi ifanyiwe Kistuli au Pambo lolote au Ngo'ma

Nyama familia wale

uchafu apewe Paka na Mbwa wake

Mwisho akakumbuka Akamwambia mwanaye Mkubwa chukuwa hii Iphone yangu na Sauti yake huyu Mbuzi weka kwenye hii simu kama Ringtone. kisipotee kitu Nimelipa pesa nimeihangaikia kumpata huyu mbuzi. Hata ukitaka wewe wenyewe mpige picha weka Facebook umkumbuke huyu mbuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom