Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,942
- 6,860
Nimesikitika sana, Pole Morris. I am sorry to say that Tz is interested with foregn politics na masifa yasiyo na tija kumbe ni watu wanakuweka sawa ili waje kula kwa mrija kwa visingizio vya foreign investors. Nakuambia miaka ijayo Marekani itakuja kuchimba mafuta hapa Tz na tutalipa fadhila ya mafyeza ya ukimwi, malaria, n.k. Thubutu basi kumwambia Kikwete kupitia mamlaka zake atoe statement kuhusu huyu Morris, atapiga chenga na ikilazimika atoe statement ataitoa kwa Kikwere ili Serikali ya Bush isiielewe. Huku Tanzania serikali yetu haijali wananchi wake na si ya JK tu hata zilizopita, na ndiyo maana tuewapa wahindi nafasi ya ku dominate na kutuona watz mafala tu. Wana JF tuanzie kwanza na tabaka la wahindi, tusiende mbali. Samahani siwachukii wahindi bali ni namna ambavyo wameshatudharau na kwa kuwa wamelelewa na system. Nimeshakuwa India kwa muda kiasi na sikuweza kuona namna ambavyo mtu kama tz atapewa nafasi kule India, hata kama umeoa au kuolewa kule wewe ni outcast tuu. Sasa nako huku TZ wahindi wameshatufanya outcast ndani ya nchi yetu.
FMES! Sasa niambie wahindi wanahusiana nini na kukamatwa kwa Morris? Mimi naona huu ni uchochezi wa chuki dhidi ya wenzetu wenye rangi tofauti. Kwangu mimi, huyu na yule anayewashutumu waislamu kuwa wanakumbatia magaidi hawana tofauti. Wote hawanisemei mimi na wanastahili kukemewa. Mwenzangu hili huoni ( umekuwa wa kwanza kumshukuru kwa mchango wake) maana kwako ubaguzi wa rangi ni sawa tu!
Nimetofautiana na wakina Mkandara, Chuma na wengine lakini hata siku moja sikudiriki na sitadiriki kuwaambia kuwa imani yao ina walakin. Mwenzangu, unaweza kusema hilo?
Hapana FMES mnaopandikiza chuki ni nyie na sio sisi.