Mzanzibari aliyekamatwa na FBI kwa ugaidi arejeshwa

Mwana wa Mungu fungua mawazo yako na jaribu kuvaa viatu vya jamaa labda unaweza pata elimu mpya. Mateso ni mateso na yameshatokea na jamaa ameumizwa wakati akiwa hana hatia, haijalishi ana dini gani na dini ya mtu isiwekigezo cha kumdhulumu au kumtesa mtu.

Wamerakani wamekosa wanatakiwa kuwajibika kwa makosa na ukatili wanao wafanyia binadamu, wanaendele kuua na kutesa watu wasio na hatia. Ni wakati muafaka sasa kwa dunia kuamka na kuwachukulia hatua. Bush anatakiwa afikishwe The Hegue haraka iwezekanavyo, na mahakama hii isiwe kwa waafrika na wanyonge tu!
 
.........kufuga ndevu kama osama si vizuri. kuamini dini anayoamini osama sio vizuri. ndo maana yanawapata hayo. ulishawai kuona wapi mkristo hata mmoja amekamata kwenye huo ugaidi wenu? pateni somo basi, acheni hiyo dini yenu ya ajabu, ndo maana yanawapata hayo. .....hii dini ni mbaya, ikimbieni. kama hamkimbii, mnaona yanayowapata?na bado........uislam sio dini sahihi na hawana Mungu kweli, hapo sehemu zingine walisema ukweli. natumaini utabadilisha tabia, ubakie hapa tz ulitumikie taifa, uache kwenda somalia na kushirikiana na magaidi wengine kule kwenye islamic court rebels. sikiaaa!3

maneno yako yanakera, yanaboa, sidhani kwamba hata ulizaliwa na wazazi watanzania. Watanzania mambo ya udini hatuna... wewe ni mtu hatari sana kwa jamii yetu, sasa unamfariji au unamuongezea maumivu? Hivi wewe unaweza kumtambua mtu dini yake kwa kumuangalia? Halafu unajiita mwana wa mungu...nahisi labda umechanganyikiwa na unahitaji immediate pschological help au upelekwe word ya vichaa. Nasema KOMA tena UKOME kabisa.

SAMAHANI WANA JF WASTAARABU WENZANGU JAMAA KANIBOA.
 
kuna watu wamechanganyikiwa bila ya mateso!! mwana wa mungu, mitume walipokuja kueneza dini, hawakutukana wala hawakuombea mabaya wanaoamini dini nyengine.

chunga, usijione wewe bora kuliko vitendo vya mitume walotangulia.
 
kufuga ndevu kama osama si vizuri. Kuamini dini anayoamini osama sio vizuri. Ndo maana yanawapata hayo. Ulishawai kuona wapi mkristo hata mmoja amekamata kwenye huo ugaidi wenu? Pateni somo basi, acheni hiyo dini yenu ya ajabu, ndo maana yanawapata hayo. Ndo maana watu wanadanganywa vihela hata wakakubali kulipua ubalozo dar wawauwe hata watz wenzao kwasababu tu ya wamarekani. Hii dini ni mbaya, ikimbieni. Kama hamkimbii, mnaona yanayowapata?na bado. Nashukuru umerudi, wewe kama mtz mwenzangu. Lakini kwa wale ambao bado wako kule, naomba mungu kama hawana makosa warudishwe haraka, ila kama wana makosa, wawanyonge tu, ndo sheria ya kule inavyosema. Ugaidi ndo matunda yake. !3


hakika i didnt think you would scoop this low ... You have anything against any moslem say it loud am one and am proud of being a moslem ... Turn all your hatred against me and leave islam alone
 
Kama story ni kweli inaonekana Wamarekani wana "torture chambers" nyingi sana ambazo hazijajulikana na zinaweza kufanya Abu Ghraib iwe kama cha mtoto.

Jamaa anaweza kufanya expose kwenye media,wapenda haki walio anti-Guantanamo wakimsikia wanaweza hata kuandika kitabu, ila the devil is in the details.
 
Bwana mdogo, nakupa pole sana kwa yote yaliyokukuta. najua imekuathiri sana, ila ichukulie kama ni somo/challenge kwako kuhusu namna ya kuishi. kwamba unatakiwa kuishi kwa utaratibu, usiwe unaenda nchi za watu bila utaratibu, kama nchi hizo hazina utaratibu wa visa kama somalia, basi usiende kama ukienda ukubaliane na yote yatakayokupata huko.

kwa upande wangu, najua wamarekani wengine wanaweza kuwa wabaya kama walivyo hata watu wengine, walikutesa/walikuinterrogate ili wapate jibu. sio walikuwa wanakutesa. mazingira waliyokukuta nayo ndiyo yaliyokupelekea kuyapata hayo. kufuga ndevu kama osama si vizuri. kuamini dini anayoamini osama sio vizuri. ndo maana yanawapata hayo. ulishawai kuona wapi mkristo hata mmoja amekamata kwenye huo ugaidi wenu? pateni somo basi, acheni hiyo dini yenu ya ajabu, ndo maana yanawapata hayo. ndo maana watu wanadanganywa vihela hata wakakubali kulipua ubalozo Dar wawauwe hata watz wenzao kwasababu tu ya wamarekani. hii dini ni mbaya, ikimbieni. kama hamkimbii, mnaona yanayowapata?na bado. nashukuru umerudi, wewe kama mtz mwenzangu. lakini kwa wale ambao bado wako kule, naomba Mungu kama hawana makosa warudishwe haraka, ila kama wana makosa, wawanyonge tu, ndo sheria ya kule inavyosema. ugaidi ndo matunda yake.

siamini unachokisema kuhusu nyimbo humo kwenye mashimo, unaonekana unaongea ili watu wawaone wamarekani kwasababu ni wakristo basi dini ya kikristo sio sahihi, inakiri kuwa hakuna mungu kama unavyosema ulisikia. ni shetani tu alikuwa anakutia moyo kumbe anaenda kukunyonga, shukuru Mungu umerudi. ibilisi sio rafiki yako, hayo masauti ulikuwa tu umechanganyikiwa na kifo au mapepo yalikuwa yanakuongelesha wewe rafiki yao, ili uone kama dini ya kikristo wanayomwabudu Mungu ktk kweli ni ya uongo. uislam sio dini sahihi na hawana Mungu kweli, hapo sehemu zingine walisema ukweli. natumaini utabadilisha tabia, ubakie hapa tz ulitumikie taifa, uache kwenda somalia na kushirikiana na magaidi wengine kule kwenye islamic court rebels. sikiaaa!3

Hata sisi ambao hatuna dini tuna nafuu kuliko wewe unayejiita mwana wa Mungu.

Kutokujua kwako hebu angalia hizi image tatu uone tofauti
image
brotherhood.jpg
hapa napo ni wayahudi
jewish_orthodox_r_1.jpg
_44491219_a5e14770-d286-46e7-8fc1-8ad8e35f1540.jpg



Waislam nao
3sages.jpg



Ukiangalia hizo picha basi wanaoumiza vichwa vyao hasa ni watu kama nyinyi mnaojiita wana wa Mungu
 
Asitegemee msada wowote toka kwa serekali yetu hii ya tanzania lamuhimu watokezee wasamaria wema wamuongoze jinsi gani anaweza kupigania kupata fidia
 
..hivi wale walioumizwa na mabomu pale ubalozi wa Marekani wanapata msaada wowote toka serikali ya Tanzania?

..katika kumtetea huyu jamaa, nawasihi tusiwasahau wahanga wa tukio lile la kinyama kabisa la mashambulizi ktk ubalozi wa Marekani.

..shambulizi lile liliwaumiza Watanzania zaidi kuliko hao walengwa Wamarekani.
 
Kuna wakristu waliolipua abortion clinics (huko marekani na kwengineko )na kuua wasio na hatia kwa kudai wanafuata maelekezo ya dini yao. Waprotestanti na wakatoliki wamekuwa wakichinjana huko Ireland ya Kaskazini kwa miaka mingi tu. Ni mkristo aliyelipuwa kwa bomu ofisi za serikali kule Oklahoma. Ni wakristu wa kiserbia waliowachinja wenzao huko Bosnia. Wahindu huko Sri Lanka wamekuwa wakijilipua mabomu dhidi ya serikali inayoongozwa na wafuasi wa budha. Wahindu waliwachinja waislamu huko Gujarati. Wayahudi wanachinjana na waislamu na wakristu huko Palestina. Waislamu wanauana huko Sudan. Wasio na dini (wakomunisti) waliwachinja wenzao wengi huko urusi, china na korea kaskazini. Ni wakristu waliokuwa wakiendesha matanuru ya kuwachoma wayahudi ulaya ya kati na kaskazini. Na kadhalika na kadhalika. Wengi wa hawa walifanya maovu hayo wakijificha nyuma ya imani zao au utaifa wao.

Uovu ni uovu ni uovu. Hauna dini. Tunapaswa wote tuukemee kwa nguvu zetu zote pale unapotokea bila kujali dini ya mtendaji na mtendewa. Tulie na mmarekani pale watu wake wasio na hati wanapouawa kwa kulipuliwa, kuchinjwa n.k. na tuwakemee wanaotenda hivyo. Tulie na mpalestina pale watoto wake wanapolipuliwa pasipo kosa. Tulie na myahudi pale raia zake wanapolipuliwa kwa mabomu. Tulie na mdarfur anapouawa na janjaweed. Tulie na kaburu anaouawa kwa sababu tu ana rangi nyeupe. Tulie na yeyote yule anayeuawa au kuteswa au kunyanyaswa kwa sababu tu ya imani yake, rangi yake, jinsia yake, umri wake, ulemavu wake na laana ya mwenyezi mungu iwaangukie wale wote wanaowafanyia haya.

Naam, tumlaani mmarekani kwa yale anayowatendea anaowahisi kuwa hawamtakii mema. Tuwalaani vilevile wale wote waliotayari kuwatoa kafara raia wetu na wageni wetu ili mradi watimize ajenda yao.

Uovu hauna dini.
 
Unajua Mods na Invisible,

Mfike mahali muwe serious, maana huyu mtu mmoja mwisho ataishia kuiua hii forum, tunajaribu kumheshimu lakini naona anafikiri na sisi wote humu forum ni kama kamati za UV-CCM na Nchimbi,

Wewe mkuu unayeleta maneno ya udini, unajifanya kutukana wa-Islam wakati wewe mwenyewe ni Mu-Islam, tena una maneno mengi sana machafu against wa-Kristo kule kwenye section ya dini, nakuomba uelewe kuwa unafahamika sana, inaonekana nia yako ni kuhakikisha either umekuwa kinara wa hii forum, au unaivuruga, na tayari umepata wafuasi flani ambao hawakuelewi vizuri, I know you now stop this nonesense!

Binafsi ninakuangalia sana mwenendo wako humu, tena kwa muda mrefu sana, I do not own hii forum lakini siwezi kukupa hiyo nafasi ya kutuvuruga hapa JF kwa kisingizio cha kuheshimu demokrasia, demokrasia my foot! Wewe ni pure confused creature, unahitaji therapy maana there is no way a normal human being kama sisi wengine anaweza kufanya mambo unayoyafanya humu ndani!

Hivi una matatizo gani wewe? Elimu yote nzito uliyonayo hivi huwezi ukakaa chini for just one minute ukajaribu kuitumia kuwaelimisha wananchi wengine humu ishus muhimu kwa wananchi kuliko hizi confusion unazojaribu kila siku kuzipanda hapa JF? You are so determined kuihairbu hii forum kwa sababu tu huwezi kuwa kinara hapa, look at what you are doing now? Kwa hiyo yakirushwa matusi ya Wa-Islam against Wa-Kristo wewe ndiyo furaha yako?

Hivi JF vipi wakuu tunakuwaje sasa? Yaaani hii ya kushambuliwa kuwa hatujui demokrasia ndio tunaruhusu huyu mjinga kuiharibu hiii forum huku tunamungalia tu? Huyu binadamu ni mgonjwa tena serious sickness, I do not care anything ninasema hivi hatuwezi wote hapa kumpa free pass huyu juha, hivi mkuu unajua kuwa zamani ulipokuwa low profile hakukuwa na taabu hapa forum, lakini from the day ulipoamua kuwa unataka kuwa kinara hapa imekuwa taabu tupu hapa JF, unataka nini hasa?

Yes I said it, acha kutuletea ujinga hapa bro, tunajua kuwa wewe sio mbongo kama sisi wengine ndio maana hujali na majina 100, eti unatukana wa-Isilamu halafu unageuka na kujifanya kujisema tena mwenyewe what a foolish creature are you? You are all over the place unachotaka ni kupanda mbegu tu za uahasama humu, eti unataka kuleta balance hapa forum what a balance? Siku zote wewe ndioye unayejua dini kuliko watu wote wengine, mara kwa mara ni lazima ulazimishe dini kwenye siasa, umeonywa mara nyingi na watu hapa bayo mambo yako ya udini peleka kule lakini lazima tu uyalete hapa, WHY?

Invisible na Mods, hebu mfukuzeni huyu juha kabla hajaiharibu hii forum! Yes I sad it kama una problem nitafute hapa au kwenye PM, na ninaweza kukupa namba yangu ya simu sikuogopi you Idiot, lakini huwezi haribu hii froum huku tunakuangalia tu kama wajinga hapa sio Umoja wa Vijana wa CCM.

Invisible na Mods please, muondoeni huyu juha na majina yake 100!, I mean this is pathetic!
 
Waislam,
Hata mjilipue na muuwe watu kiasi gani, HAMTAFIKIA uuwaji wa Wakristo. Jamaa yangu mmoja aliniambia hivyo. Nikasema wapi huko tuliuwa kwa jina la Yesu? Nikajibiwa kuwa ni NJIA YA MSALABA. Nilikuja kuona film yake iitwayo Kingdom of Heaven (Jeremy Irons na Orlando Bloom). Wakristo walichinja weeee, wakajana waislam wakachinja weeee. Mwisho jamaa anauliza "hivi hii Jerusalem mnayogombea ina nini hasa?" Akajibiwa kuwa "Jerusalem is Nothing and is Everything...". Ugomvi wa Wakristo na Waislam, Sijui Hindu na Islam, Protestant and Catholics nk, siku zote huo ndiyo ukweli. Tunapigania SIASA tu. We fight for something which always is "Nothing and Everything". Mwenye MACHO haambiwi Tazama. Tatizo mwenye dini anakuwa kama MWENYE MAPENZI. Sikinde waliimba "mwenye mapenzi haoni, ingawa macho anayo". Heri yangu SINA mapenzi naona, ingawa macho sina (Steve Wonder).
 
Waislam,

Hata mjilipue na muuwe watu kiasi gani, HAMTAFIKIA uuwaji wa Wakristo. Jamaa yangu mmoja aliniambia hivyo. Nikasema wapi huko tuliuwa kwa jina la Yesu?


Mkuu Sikonge, mimi ni Mkristo je na wewe ni Mkristo kweli? Kwa sababu Tanzania hatuna haya matatizo ya kuuana kwa dini, wala kugombana na udini, sasa naomba unisadie kuelewa what is the point hapa na huu ukristo na usilamu?
 
Mkuu Sikonge, mimi ni Mkristo je na wewe ni Mkristo kweli? Kwa sababu Tanzania hatuna haya matatizo ya kuuana kwa dini, wala kugombana na udini, sasa naomba unisadie kuelewa what is the point hapa na huu ukristo na usilamu?

FMES,
Ni kweli Tanzania hatuna ugomvi wa kidini wa kutisha. Ila Tanzania si kisiwa katiba dunia yetu ya leo. Mfano ni huyu Morris aliyekamatwa na USA na kuteswa kiasi kile. Too sad. Hasira walizonazo USA kwa Waislam, hasira walizonazo Waislam kwa Wakristo, zinaweza kukusabisha siku moja bila kuetegemea uko nchi za watu ukajikuta uko matatani.
Njia ya MSALABA iliuwa watu wengi sana ndugu yangu katika Kristo. Nafikiri hata Pope John Paul II au huyu Benedict 16 alienda Greece au Turk na kuomba msamaha MABAYA yaliyofanywa na Wakristo.
Tafadhali itafute hii film ya KINGDOM of HEAVEN uiangalie kama bado na kama utashindwa basi sema ntakutumia. Nilikuwa nasikia NJIA YA MSALABA. Nilipoangalia hii film ndipo nikajua kwa nini Pope alienda kuomba msamaha.
Lengo hasa la kuandika hii ni kusema kwamba, wote wanaotumia DINI kuuwa au kutesa watu wengine, hawa si WATU WA MUNGU ila ni WANASIASA. Pia na wabagudhi wengine wote kama alivyowachambua FUNDI MCHUNDO hapo juu wote ni WANASIASA. Dini na Siasa ikichanganywa, inakuwa ni Fusion Bomb. Wote Walaaniwe bila ya kujali Rangi, Dini, umri ..........
 
Mzanzibari aliyekamatwa na FBI kwa ugaidi arejeshwa

Na Salma Said, Zanzibar

MTANZANIA aliyekamatwa na makachero wa Marekani kwa kuhusishwa na ugaidi, Suleiman Abdallah Salim (Morris), amerudishwa Zanzibar juzi na Shirika la Msalaba Mwekundu kutoka Afghanistan baada ya kubainika kwamba si gaidi.
Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwao maeneo ya Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar, huku akionekana mchovu, alisema alikamatwa na makachero wa FBI nchini Somali mwaka 2003 akiwa katika shughuli zake za kibiashara na kuingizwa katika gari bila ya kufahamu anapopelekwa.


Akielezea mkasa uliomkuta akiwa eneo la Abusasu, Mjini Mogadishu alisema baada ya kukamatwa na kuingizwa katika gari hilo huku akipata kipigo kutoka kwa maafisa hao alisafirishwa hadi Nairobi, Kenya na kutakiwa apeleke mtu wa kumdhamani, lakini aliwaambia kuwa yeye ni Mtanzania na kwamba hana ndugu yeyote jijini humo.


FMES,

Ni kweli Tanzania hatuna ugomvi wa kidini wa kutisha. Ila Tanzania si kisiwa katiba dunia yetu ya leo. Mfano ni huyu Morris aliyekamatwa na USA na kuteswa kiasi kile. Too sad. Hasira walizonazo USA kwa Waislam, hasira walizonazo Waislam kwa Wakristo, zinaweza kukusabisha siku moja bila kuetegemea uko nchi za watu ukajikuta uko matatani.

Njia ya MSALABA iliuwa watu wengi sana ndugu yangu katika Kristo. Nafikiri hata Pope John Paul II au huyu Benedict 16 alienda Greece au Turk na kuomba msamaha MABAYA yaliyofanywa na Wakristo.
Tafadhali itafute hii film ya KINGDOM of HEAVEN uiangalie kama bado na kama utashindwa basi sema ntakutumia. Nilikuwa nasikia NJIA YA MSALABA.

Nilipoangalia hii film ndipo nikajua kwa nini Pope alienda kuomba msamaha.
Lengo hasa la kuandika hii ni kusema kwamba, wote wanaotumia DINI kuuwa au kutesa watu wengine, hawa si WATU WA MUNGU ila ni WANASIASA. Pia na wabagudhi wengine wote kama alivyowachambua FUNDI MCHUNDO hapo juu wote ni WANASIASA. Dini na Siasa ikichanganywa, inakuwa ni Fusion Bomb. Wote Walaaniwe bila ya kujali Rangi, Dini, umri ..........

Mkuu naomba tena kukuuliza, maneno ya quote ya juu ndio hasa hoja ya msingi ya mtoa mada, sasa ninajaribu kuyaoanisha na yako hapa chini sioni yanapokutana,

FBI wamemshika jamaa kwa sababu walidhani kuwa ni gaidi, na sio kwamba ni mara ya kwanza wamefanya hivyo na record iko very clear kwenye hilo, sasa maneno yako yanahusiana vipi na sisi Tanzania, na wa-Kristo au Wa-Isialmu wa Tanzania?

Mbona sioni connection zaidi tu ya kujaribu kupanda mbegu ambazo haziwezi kutusiadia sisi wananchi tunaokuja hapa kuelimishwa kuhusu matatizo ya taifa letu? I mean watu wangapi wasio na makosa wameshiwka wapo Guantanamo tena wa mataifa mabli mbali? Hata sisi tulipokwenda Kampala kumuondoa Amin, tulishika watu wengi wasiohusika kabisa na vita, US iko kwenye vita na magaidi sasa wakikushika kwenye ameneo ambayo wao wamesha-declare kuwa ni ya vita, sisi Tanzania tutakusaidia vipi?

Na what that has to do na dini yako au ya US? au Tanzania? I just do not get it!
 
..hivi wale walioumizwa na mabomu pale ubalozi wa Marekani wanapata msaada wowote toka serikali ya Tanzania?

..katika kumtetea huyu jamaa, nawasihi tusiwasahau wahanga wa tukio lile la kinyama kabisa la mashambulizi ktk ubalozi wa Marekani.

..shambulizi lile liliwaumiza Watanzania zaidi kuliko hao walengwa Wamarekani.


Juzi wakati wamarekani wanakumbuka ubalozi kuvamiwa wale wahanga waliandamana kudai fidia kuwa ilikuwa ndogo sana.Huku Kikwete anampokea Bush kwa matarumbeta na carpet. Hatuna mtetezi

Waberoya
 
Bubu,
Si huyo tu. Kuna raia wengi kutoka Saudi Arabia ambao walikuwa Guantanamo kwa kosa la kuwa at the wrong place at the wrong time. Iliyonisikitisha zaidi ni pilot mmoja wa Ivory Coast ambaye alikamatwa Miama akiwa na redio yake, akahamishiwa New York, kwa sababu tu alikuwa Muislamu, akafungwa, na baadaye ikathibitika kuwa hakuwa na uhusiano wowote na Al Qaeda, September 11 lakini ameswekwa lupango kwa zaidi ya miaka mitatu. Na huyu hatimaye aliondoka bila kupewa fidia yeyote. Hata serikali yake haikutoa malalamishi kwa sababu waliogopa ile kauli mbiu "either you are with us or you are against us." Subiri baada ya kipindi cha Bush kumalizika utasikia stori nyingi za mateso yasiyo na sababu kama yale yaliyowapata Wamarekani wenye asili ya Kijapan baada ya Pearl Harbour.

Naomba mwambe hili Nyani maana yeye na Babu yake ambaye alining'inizwawanapenda sera za Gitmo!
 
Khalfan Ghailan yuko wapi? nilimsikia mama yake akilalama kuwa mwanawe hana hatia....lakini ikumbkwe alikamatwa kwenye battle fire kule Afghanistan....

Mnamkumbuka na yule Msudan kama sijakosea mpiga picha wa Aljazeera nae hakuwa na ahatia alirudishwa Sudan mwezi wa 5 mwaka huu......hii ni kuonyesha the failure ya US foreign policy.....mpaka leo hao wanaoitwa magaidi wengi wao kumbe ni innocent people.Aibu Bush na Nyani Mcain......


Kikwete alikuwa huko juzi, anapunga upepo na kuangalia basketball ya wanawake.Hajui na pengine hana taarifa kuwa kuna Mtanzania ameteseka kiasi hicho.Na hata akijua afanye nini?.Kikwete anasema Bush ni rais pekee wa marekani kuwakumbuka Watanzania na Afrika.Kikwete anaogopa hata kukooa mbele ya Bush, nampa pole Morris, labda aombe serikali ya Tanzania imlipe fidia ya kutokumsaidia akiwa raia wa Tanzania.

Marekani kulipa fidia ni kukubali kuwa wazembe na hawako tayari katika hilo.

Pole Morris

Waberoya
''Yesu akasema msiponisifu mimi nitayaamuru haya mawe yanisifu''
 
Back
Top Bottom