Mzalendo Net, Kielelezo Cha Matusi Dhidi ya Wabara(Tanganyika )

Unapoteza muda wako bure kujadiliana na hawa HIZBU, sio wastaarabu kabisa. Huwezi amini mtu aliyeporomosha matusi kama hayo huwa anaingia kwenye nyumba ya ibada na huwa anaweka mwili wake safi kabla ya kuingia lakini kumbe ni najisi mkubwa

Yote haya yameletelezwa na CCM kutulazimisha muungano kwa maslahi binafsi ya watu wachache. Matatizo ya kiusalama yaliyopelekea muungano yameisha sasa muungano wa nini tena??

Haya mnayoyaandika humu naona mnapoteza muda wenu. Si wa Zanzibari wala WaTanganyika sote tumo kwenye mkumbo huo huo. Kama ni najisi wote ni najisi na Kama CCm ndo imewalazimisha basi Wazanzibari wamekazimishwa na unawaatihiri zaidi. Tuzeni akili zenu wacheni upambavu wenu. Andikeni mambo ya maana yatakayowasaidia Watanzania kuondokana na jinamizi linalotiusumbua lisijegeuka Popo Bawa Tukaangamia sote.
 
Nafikiri waTanganyika ni waoga sana. wamekuwa waoga hata kujadili namna ya kuunda Serikali yao ya Tanganyika.

Kumbukeni ukumbi wa Zanzinet ni ukumbi wa wote kama ilivyo Jamii forum. Kila mtu kwa kufuata masharti ya ukumbi una haki ya kujiunga na kutoa michango yao ya mawazo.

Mfano mimi sina uraia kabisa wa Tanzania lakin kumbi zote nipo na nachangia kama kawaida.

Acheni woga kama mnaona yamewauma basi jiungeni huko muweke mambo sawa.

Kumbukeni HAKUNA
 
Back
Top Bottom