Mzalendo Net, Kielelezo Cha Matusi Dhidi ya Wabara(Tanganyika )

Phillemon Mikael

Platinum Member
Nov 5, 2006
10,534
8,619
Tazameni sehemu tu ya matusi niliyoporomeshewa....

http://www.mzalendo.net/habari/seif-asema-tunataka-zanzibar-yetu

Author: Albusaidy
Comment:
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.
 
Pole aisee. Ila huyo jamaa anaonyesha ni nguli kwenye hiyo tasnia, anajitangaza laiv kbs??
 
TCRA wako wapi juu ya matusi haya? Nini maana ya kusajiri no. Za simu?

Mkuu huyo aliyetoa hayo matusi ni muhuni tu kama wahuni wengine ambao tunao humu, hiyo namba ya simu kaweka tu wala sio yake.
 
Sasa ametukana wabara au amekutukana wewe individual?Au mpaka nifungue ile net eeh?Pole sana ila huyu naamini mkionana yeye ndo kucholea saba mkuu huo ni mkwara tu majitu ya hivi ukilitia machoni unalichapa lenyewe na familia yake yote ndo litatia adabu
 
Mkuu huyo aliyetoa hayo matusi ni muhuni tu kama wahuni wengine ambao tunao humu, hiyo namba ya simu kaweka tu wala sio yake.

Jamiii forum hatuna wahuni....watu wwanabishana kwa Hoja ....pamoja na kuwa wanagombana.......,iimeniiuma sana kutukanwa na watu kukaa kimya just kwa kuwa Mimi ni mbara....,hi inaonesha mtandao wa Zanzibar hawataki maoni mbadala.....
 
Sasa ametukana wabara au amekutukana wewe individual?Au mpaka nifungue ile net eeh?Pole sana ila huyu naamini mkionana yeye ndo kucholea saba mkuu huo ni mkwara tu majitu ya hivi ukilitia machoni unalichapa lenyewe na familia yake yote ndo litatia adabu

Gwakisa hawa jamaa ni wabaguzi sana...spendi Kabisa ubaguuzi.......,tukiwaacha wattaabaguana
 
Unapodhani watu wa bara ni watoto wa wakoma na watumwa ni upofu wa historia na kujionaaaa mwarabu kuliko mwafrika....wakati sana utakuwa chotara...wa kiafrica na babu mwarabu
 
Pole Phillimon wazanzibari wabaguzi sana wenyeww kwa wenyewe wanabaguana na wanachuki
 
Jamiii forum hatuna wahuni....watu wwanabishana kwa Hoja ....pamoja na kuwa wanagombana.......,iimeniiuma sana kutukanwa na watu kukaa kimya just kwa kuwa Mimi ni mbara....,hi inaonesha mtandao wa Zanzibar hawataki maoni mbadala.....

Mkuu mbona mie nimeishatukanwa humu JF kama ulivyotukanwa wewe na mods wakatoa ban kwa muhuni.

JF hakuna wahuni lakini members wake wengine ni wahuni.
 
TCRA wako wapi juu ya matusi haya? Nini maana ya kusajiri no. Za simu?
Huku utamkamata nani wakati wanajuana?Kila mtu ana ndugu serikalini na mkono wa TCRA hauna mashiko ilikuwa danganya toto tu kwa watanzania na iliwasaidia sana wakati ule kusambaza maneno ya ongo wakati wa uchaguzi.

Hta hivyo huyo jamaa hata kuandika ni tatizo hivyo kubishana nae ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyechukua nguo zako wakati unaoga mtoni.
 
Author: Albusaidy
Comment:
cEbu fanyeni maaririfa uyu mkoma na mtwana wa bara aitwaye phillemon nimpate maana anakitu atakaaganyiwe ila hasemi moja kwa mojo,ile sie tushamfahamu kua anahamu ya kufirwa,naomba uchukue hii nomba yangu ya simu unitafute 0777222231 naapa nitakutimizia haja yako.

Hii post inatoa taswira mbaya sana kwa wanzanzibari na sidhani kama huyo aliyekuwa anatukana anaelewa madhara yake kwa wanzanzibari wenyewe? Amejikita kwenye mambo mawili, 'rangi ya ngozi na homosexuality'. Sasa, kama debate ilikuwa ni kuhusu Zanzibar kujitenga na Tanganyika, skin colour na homosexuality vimeingiaje? Anataka kuuwambia nini ulimwengu? Mambo ya aibu sana haya!
 
Jamiii forum hatuna wahuni....watu wwanabishana kwa Hoja ....pamoja na kuwa wanagombana.......,iimeniiuma sana kutukanwa na watu kukaa kimya just kwa kuwa Mimi ni mbara....,hi inaonesha mtandao wa Zanzibar hawataki maoni mbadala.....

Unapoteza muda wako bure kujadiliana na hawa HIZBU, sio wastaarabu kabisa. Huwezi amini mtu aliyeporomosha matusi kama hayo huwa anaingia kwenye nyumba ya ibada na huwa anaweka mwili wake safi kabla ya kuingia lakini kumbe ni najisi mkubwa

Yote haya yameletelezwa na CCM kutulazimisha muungano kwa maslahi binafsi ya watu wachache. Matatizo ya kiusalama yaliyopelekea muungano yameisha sasa muungano wa nini tena??
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Pole sana aisee.Kwani imekuwaje mpaka utukanwe kiasi hiki mkuu?

Nilikuwa najadili Hoja ya Maalim ..kuwa wanataka Zanzibar Yao ....mawazo Yao ni kuwa muungano ukivunjka watafaidika kugawana utajiri wetu nusu Kama ndoa zinapovunjika.....,nikawaeleza juu ya michango ya kuendeshaa Tasisi za muungano ambayo hawatoi na vitu Kama umeme...
 
Back
Top Bottom