MyElimu.com - Mtandao unaowakutanisha wanafunzi wa sekondari Tanzania

dah hongra sana bro given ni miak 3 toka 833kj anga la c coy
 
myElimuLOGO.jpg

myelimu.com ni mtandao unaowaleta pamoja wanafunzi wote wa sekondari Tanzania kujadili masomo pamoja na maswala mengine mbalimbali ya kitaaluma.

Muanzilishi wa mtandao wa myelimu.com Bwana GIVENALITY anasema, mtandao huu ni njia nzuri ya wanafunzi kuafaidi utandawazi hasa intaneti, badala ya kutumia muda mwingi kwenye mitandao isiyoleta mabadiliko chanya kwao na hata jamii nzima. Tovuti hiyo iko katika muundo wa forum ambapo watumiaji watajadiliana mada mbalimbali ikiwemo masomo tofauti tofauti, walengwa wakiwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mpaka cha sita.


waweza tembelea mtandao huu na kujisajili
myElimu | Discussions For Briliant Students


pia waweza like ukurasa wao wa facebook ili kupata taarifa kwa haraka
MyElimu | Facebook

wengine watakua wanasongzia wapo myelimu, kumbe wapo facebook, whatsapp, u tube, n.k
 
Hi all,
Thank you for the feedback you gave wakati project inaanza. Imekuwa and now tunazidi kuiboresha kadri siku zinavyozidi kwenda. Unaweza kuiangalia kupitia myelimu.com then ukatoa ushauri. Bado tunakaribisha mawazo.
 
Back
Top Bottom