Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
Wote mnaoponda hii thread sio waelewa.
Sijaona udhalilishaji hapa zaidi ya jamaa kutaka ushauri.
Tena ameeleza vizur tu kuwa mwez wake akiambiwa anaona amedharauliwa je atumie njia gani kumwambia bila kuleta ugomvi baina yao?
Akaomba kama kuna dawa mmwambie na jinsi gani atatue hili tatizo, sasa udhalilishaji uko wapi hapa?
Yani kusema tatizo lilipo ni udhalilishaji? Achen hizo bana mbona kuna thread zinaenda mbali zaidi ya hapa?!
Mkuu nakushauri kama ifuatavyo.
Mchukue dem wako mkae umwambie kwa jinsi gani unampenda na hutak kumpoteza.
Then mwambie kwamba mapenz ya kweli ya yale ya kuambiana ukweli kwa lengo la kuboresha mahusiano yenu.
Hivyo umeamua kumwambia tatizo alilonalo ili mjue jinsi gani mnalitatua.
Akikuuliza ni tatizo gani basi hapo unamwambia kwa upole kabisa. Then onyeesha jitihada za kutaka kumsaidia ktk tatizo hilo mf. Mshauri muende dental clinic n.k
hapo demu atakuelewa kwamba hujamdharau ila ni hali halisi.
Mshkaji nakubaliana nawe mia kwa mia kama wabunge wa sisiem wanavyounga hoja mkono huku wakikosoa mwanzo mwisho.... tuyaache hayo yamekaa kipolitiki zaidi.... Turudi kunako mada. Hili ni tatizo kubwa ambalo usipolishughulikia mara moja unaweza kushangaa hata hyo ya dogstyle inashindikana... Hakuna mtu mwingine wa kumsaidia ni wewe. Bahati mbaya kama ambavyo umeambiwa watu wa namna hii huwa hawajielewi... Muweke chini umpe ukweli then mtafute matibabu!
Ila iyo Avatar yako my friend!! wanaopigania haki za watoto cjui wako wapi...