My wife to be ananuka mdomo,naogopa kumwambia!!

Wote mnaoponda hii thread sio waelewa.

Sijaona udhalilishaji hapa zaidi ya jamaa kutaka ushauri.

Tena ameeleza vizur tu kuwa mwez wake akiambiwa anaona amedharauliwa je atumie njia gani kumwambia bila kuleta ugomvi baina yao?

Akaomba kama kuna dawa mmwambie na jinsi gani atatue hili tatizo, sasa udhalilishaji uko wapi hapa?

Yani kusema tatizo lilipo ni udhalilishaji? Achen hizo bana mbona kuna thread zinaenda mbali zaidi ya hapa?!

Mkuu nakushauri kama ifuatavyo.
Mchukue dem wako mkae umwambie kwa jinsi gani unampenda na hutak kumpoteza.
Then mwambie kwamba mapenz ya kweli ya yale ya kuambiana ukweli kwa lengo la kuboresha mahusiano yenu.
Hivyo umeamua kumwambia tatizo alilonalo ili mjue jinsi gani mnalitatua.
Akikuuliza ni tatizo gani basi hapo unamwambia kwa upole kabisa. Then onyeesha jitihada za kutaka kumsaidia ktk tatizo hilo mf. Mshauri muende dental clinic n.k
hapo demu atakuelewa kwamba hujamdharau ila ni hali halisi.

Mshkaji nakubaliana nawe mia kwa mia kama wabunge wa sisiem wanavyounga hoja mkono huku wakikosoa mwanzo mwisho.... tuyaache hayo yamekaa kipolitiki zaidi.... Turudi kunako mada. Hili ni tatizo kubwa ambalo usipolishughulikia mara moja unaweza kushangaa hata hyo ya dogstyle inashindikana... Hakuna mtu mwingine wa kumsaidia ni wewe. Bahati mbaya kama ambavyo umeambiwa watu wa namna hii huwa hawajielewi... Muweke chini umpe ukweli then mtafute matibabu!

Ila iyo Avatar yako my friend!! wanaopigania haki za watoto cjui wako wapi...

Mshkaji nakubaliana nawe mia kwa mia kama wabunge wa sisiem wanavyounga hoja mkono huku wakikosoa mwanzo mwisho.... tuyaache hayo yamekaa kipolitiki zaidi.... Turudi kunako mada. Hili ni tatizo kubwa ambalo usipolishughulikia mara moja unaweza kushangaa hata hyo ya dogstyle inashindikana... Hakuna mtu mwingine wa kumsaidia ni wewe. Bahati mbaya kama ambavyo umeambiwa watu wa namna hii huwa hawajielewi... Muweke chini umpe ukweli then mtafute matibabu!

Mkuu na hapo afanye kistaarabu na sio ile ya kumshtua aise unanuka mdomo
Kuna njia z akufikisha ujumbe kwa namna ambayo haitamuoffend mhusika maana ile ya direct inaonekana kama umemdharau
Ila kaa nae fikisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya mtu na mpenziwe kistaraabu

Are you sure unapenda huyo dada?? Siamini kama ungempenda ungeweka hii topic hapa....
Mi sioni ubaya. SI anaandika anonymously? ao we tayari umesha mjua yeye ni nani na mpenzi wake huyo ni nani?
Kwa mtoa mada, we leta tu style mpya. Soma nae articles za ku-improve maisha in general unaanza like:
- kwanza tuwe tunafanya mazoezi kila siku
- Tuwe tunasoma inspirational books at least 30 min per day na weekends tunaongelea best topics
- Tuwe tuna piga mswaki after every meal
- Tuhakikishe tunasave at least 30% ya total income yetu for our kids
- tusiwe tuna tumia more than 5% ya total income kwa bia etc
Unaileta tu in general comments alafu mnaweka targets. Siku ukiona anaskip kupiga mswaki wa saa 6 unamwambia: honey, kama tuashindwa mambo madogo madogo tutashindwa na mengine pia. Njoo tukapige mswaki. Mnamalizia na ka mouth wash plus pipi kifua ao PK fulani.
Utaona mambo yataenda sawa na hata note kua mdomo ulikua unatema.

Mkuu na hapo afanye kistaarabu na sio ile ya kumshtua aise unanuka mdomo

Kuna njia z akufikisha ujumbe kwa namna ambayo haitamuoffend mhusika maana ile ya direct inaonekana kama umemdharau

Ila kaa nae fikisha ujumbe kwa njia ambayo ni ya mtu na mpenziwe kistaraabu

Huyu mtoa mada ni nusu mdhalilishaji nusu mwenye upando wa kweli.

Angetakiwa atatue tatizo mean yeye na mtu wake,then likimshinda ndo aje humu.
Sasa ipi bora ku try and fail au ku fail ku try?
Wewe jamaa hufai dog stail ndo soln?

Kwa kawaida hajijui kama ananuka naiman angekua anajua angejaribu kurekebisha hata kabla wewe hujalifikisha humu.

Unataka kuonesha upendo upi kwa mke wako mtarijiwa?

Je ukija muoa na ukagundua anajikojolea?utamsaidiaje?
Wewe unatakiwa uwe unatatua matatizo yako na mwenzi wako kivyenu sio uyalete humu.

Akija sikia unamsema vibaya pemben na hujawai mwambia atajisikiaje?

Zika maiti inayokuozea ndani kabla hujazika ya jirani yako.

Mkuu ustaaraabu ni kitu kidogo sana
Na yahitajika upeo kidogo sana kujua kuwa ni tatizo gani ulitoe nje ya chumba chako cha faragha kati yako na mpenzio. Kuna mambo ambayo kwanza yahitaji myaongee, myatafutie ufumbuzi kabla ya third part kuhusika
Anaweza kusema hapa hakuna mtu anayemjua au anayemjua huyo mpenzi wake
Ila kama hili la mpenzi wako ungeanzia kwanza chumbani muliongelee na unapoona hakuna utaratibu wa hilo kuisha ndio unafanya mpango mwingine wa kulipeleka hata kwa doctor wa meno na kinywa. Nachelea sana haya mambo ya mtu na mpenziwe hawajayaongea wenyewe hata kujua tatizo ni nini tunayatoa nje kwa third part

Kuna tatizo la watu kunuka kinywa na bahati mbaya mtu nayenuka kinywa hajijui kwakuwa ni mpenzi wako wa dhati tafadhali mweleze bila kukawiya.

Mie pia sijaona udhalilishaji, au kwa vile ni mdomo, watu humu wanasema wamekuta naniliu kubwa na bado wanapewa ushauri, embu mnaoona amemdhalilisha mlitaka asemeje, mnasema angemwambia, si amesema alijaribu kitu kingine tu kidogo akaja juu? na hili anaogopa, ni kawaida kama unampenda mtu hupendi akasirike, sasa mshaurini amwambieje, kwa kweli harufu ya mdomo inakera kwenye faragha ukizingatia sehsmu ile ni full kuhema lol

Naona tunajadili 'uhalali wa mada' badala ya kumsadia. Binafsi naona mleta mada yupo kwenye genuine dilema. Kwanza ni namna ya kumwambia mchumba wake kwamba anatoa harufu mbaya mdomoni (ingawa hii pekee haiwezi kumaliza tatizo) na la pili ambalo ni la muhimu ni namna ya kuondoa tatizo la kutokwa harufu mbaya mdomoni.

Kumwambia: Hapa ni pagumu kutoa ushauri kwa sababu kwa sehemu kubwa inategemea wawili nyie (na hasa binti) ni watu wa namna gani na pili uhusiano wenu upoje (kwa mfano mnaweza kuongea kwa uwazi kiasi gani). Lakini kwa vyovyote vile ni lazima umwambie 'tatizo hili' na hapohapo uoneshe nia ya dhati ya kumsaidia kupata suluhu. Mimi ningesema umwambie directly mkiwa faragha siku ambayo hakuna 'bifu' lolote. Lakini mwombe radhi kabla hujaanza....kwamba kitu unachokusudia kumwambia huenda kikamuudhi lakini kwa manufaa ya uhusiano wenu unaamini ni lazima ukiseme na kwa pamoja mkitafutie ufumbuzi. Hata kama mwanzoni atajisikia vibaya lakini baadae (kama ni mwelewa) atajirudi na hasa akiona unafanya jitihada za dhati kumsaidia kupata ufumbuzi.

Ufumbuzi: Baada ya tatizo kuwa wazi (kuvunja usiri/ukimya) sasa inakuwa rahisi kupata suluhu kama ni issue ya usafi tu, au ya kitabibu au ama ya lishe. Lakini yote hii inakuwa rahisi kama kuna mawasiliano huru baina ya pande mbili. Si vibaya ukajifunza kuhusu tatizo hili kupitia wavuti mbalimbali za kitabibu/kijamii. Hii ni mojawapo (just google utapata sites nyingi tu):Bad Breath Treatment - Reduce Your Mouth Odor - Help For Halitosis - End Embarassing Bad Breath

Pole na kila la heri.

M nimfano mzur.nlkuwa na meno yameharbka mbaya,domo likawa linasmell,jamaa alikuwa ananambia.atlast nkatoa.sema hajazoea kuambiwa dats y cku ukimwambia anapanik.tel ha da truth.km vp mcndkze kbs hosp.

huyo mwambie-maana usipomwambie now-may be siku zijazo mambo yatakuwa mabaya zaid,na ndipo utakapochukuwa uamuzi wa kumuambia ukajikuta uhusano/ndoa unazid kuwa mbaya-if u real luv her-tell her the truth,ndio ultimate option ya kumsaidia na kuimarisha uhusiano wenu

Wanajamii tuweni watu wastaarabu,Hizi hoja zingine hazina tija bali ni kuzalilisha jinsia zile dhaifu,haina maana kumdhalilisha mwezio kama kweli unampenda,na kwa nini ufanye mambo ya wakubwa kabla ya kufunga ndoa acha uasherati,Huyo hanuki bali ni wewe umevuka daraja ambalo hujalifikia,you need to be purified,ogopa Mungu na ogopa ukimwi.Kwenye upendo mwenye chongo utaona kengeza.

here is the technique! ask her "hiv switii una2miaga dawa gan vile ya meno?!" atakujibu then tel her.... ahhh switiii unajua hiyo dawa cyo kabsa mi nishawah kuitumia ikaniletea matatizo kibao kwa nini dia ucwe una2mia dawa fulan?! kama anaakili atajua unamaanisha nini.

Ukisoma vzr my thread utaelewa and utatoa good analysis! Naona kama hujanielewa vizuri

Huyu mtoa mada ni nusu mdhalilishaji nusu mwenye upando wa kweli.

Angetakiwa atatue tatizo mean yeye na mtu wake,then likimshinda ndo aje humu.

Sasa ipi bora ku try and fail au ku fail ku try?

Wewe jamaa hufai dog stail ndo soln?

Kwa kawaida hajijui kama ananuka naiman angekua anajua angejaribu kurekebisha hata kabla wewe hujalifikisha humu.

Unataka kuonesha upendo upi kwa mke wako mtarijiwa?

Je ukija muoa na ukagundua anajikojolea?utamsaidiaje?

Wewe unatakiwa uwe unatatua matatizo yako na mwenzi wako kivyenu sio uyalete humu.

Akija sikia unamsema vibaya pemben na hujawai mwambia atajisikiaje?

Zika maiti inayokuozea ndani kabla hujazika ya jirani yako.

We mlokole wa kisasa nn? Mchungaj wako anamilik gari la shs ngapi? And kajenga kando ya bahari kawe beach? Dont judge others, U ARE NOT GOD
Wanajamii tuweni watu wastaarabu,Hizi hoja zingine hazina tija bali ni kuzalilisha jinsia zile dhaifu,haina maana kumdhalilisha mwezio kama kweli unampenda,na kwa nini ufanye mambo ya wakubwa kabla ya kufunga ndoa acha uasherati,Huyo hanuki bali ni wewe umevuka daraja ambalo hujalifikia,you need to be purified,ogopa Mungu na ogopa ukimwi.Kwenye upendo mwenye chongo utaona kengeza.

Dawa zipo mkuu kanunue Med oral awe anasukutua kinywa au atumie zile dawa za meno za Aroevela...kuhusu huko chini apige kopo kisawa sawa aoshe na detol ni Funngus tu hao mkuu

Atumie any mouth wash zinapatikana phamacy, na kuhusu sehemu nyeti wadau wanasema wanamke hujisafisha huko kwa kutumia kidole; ni vigumu kufika kila eneo sehemu nyingine kidole hakifiki hivyo kitu kinachoweza kumsafisha vizuri ni issue yako amabyo inafika maeneo mbalimbali.
na kama hatafanya kwa muda mrefu hiyo hali ataendelea nayo kwa sababu hawezi kujisafisha

Watu tuko wanafiki sana, kijana kaleta issue anayokumbana nayo kny mapenzi watu wengine wanasema anadhalilisha are you people mad? Mlitaka amkimbie ili aonekane hajamdhalilisha? Mlitaka amlipukie? Ameomba mwongozo tena kny jukwaa sahihi toeni ushauri sio bla bla mnazotoa wengine hapa! Kwako mtoa mada, tatizo la kunuka mdomo na faragha kwa baadhi ya wanawake naweza sema ni janga kubwa, na wengi wao matatizo hayo yanatokana na tabia za uchafu uliokithiri..kwa mfano, mwanamke kama hana tabia ya kusafisha kidudu chake kwa kujiingiza kidole na kusafisha ndani mara baada ya kuduu au kukojoa, huko ndani hutengeneza uvundo au kitu km miugauli ambayo hutoa harufu kali sana, demu huyu ukikutana nae ukafanikiwa kwenda hata raundi moja shukuru Mungu! Au wengine hawajui kupiga mswaki vizuri, wanalipualipua tu as result domo linakuwa kama choo cha kulenga! So kijana, cheki kama anazingatia vizuri usafi wa kinywa, kidudu na mwili wake kwa ujumla na kama yote yanafanyika vizuri mwoneni dentist fasta...!

Sasa kama unashindwa kumweleza ukweli sasa hivi mkiwa bado hamjaoana unadhani utaweza kumweleza mkishaoana? Lazima mahusiano yenu yajengwe kwenye ukweli na uwazi na siyo haya ya kuleta habari za chumbani kwenu kwenye mtandao wa kijamii.

Back
Top Bottom