My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Wakuu poleni kwa majukumu ya kupambana na maisha.
Baada ya utangulizi pls naombeni ushauri juu ya linalonisibu.
Last year june nilikutana na binti1 mrembo sana machoni mwangu,nilipomfatilia kitabia sikumuona kama anakasoro,jan mwaka huu nilibahatika kupata namba yake ya simu na kufanya nae mawasiliano,but nilipomuomba tuonane alikataa katakata.
Nilijaribu kumwambia asiwe na khofu lakini ikawa ngumu,bcoz mtoto nilisha mpenda nilianza kumfanyia surprise,hii ilinisaidia kiasi kumfahamu kitabia,mpaka sasa nimeweza kufahamiana na mamake mzazi na dadake,hii imerahisisha sana kazi maana binti amekubali tuonane mwezi wa8 but kwa masharti.
1.Ni muahidi kama ntamuoa
2.Aje na dadake kwenye kikao chetu.
Kwangu mimi hapo ni hiyo point1(kumuoa)
Sasa tayari tumeshakubaliana baadhi ya mambo ya msingi na amenipa uhakika wa 90% kwamba mm ndiye ntakua baba wa watoto wake.
Sasa ili nisimshitukize my wife nikaamua kumwambia ki utu uzima kwamba nataka kuongeza jiko la2,cha ajabu wife alifurahi sana na kuniambia kwamba alikua akiisubili kauli hii kwa muda mrefu na pia nijaribu kuchagua shamba zuri na lenye rutuba ili nipate mazao mazuri,na cha ajabu zaidi anasema angependa anisaidie juu ya mchakato mzima wa kumpata second wife.Naanza kumuonea huruma my wife bcoz tangu nimpe taarifa hizi amechange sana,anaongea nami kwa upole zaidi na kwa heshima.
Wadau naombeni msaada juu ya kumtendea uhadilifu mke wangu kipenzi maana jiko jipya linaweza nichanganya?
Binafsi nimepanga ntakaa kwa bi mdogo for 3months tangu siku niliyomuoa then ndio ntaweka ratiba wazi,kama ni wiki wiki or???
 
Pole sana! Mkeo ametizama hali ya maisha na magonjwa kwa ujumla. Jaribu kumpenda mke achana na huyo kimada wewe radha ni ileile.
 
Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hahaha! This time around wanaume mtanyooka tu!

Sasa mkeo kakuruhusu kwa roho safi uoe, unaogopa! Hamia huko miezi 3 mfululizo, yeye mpe unga na mchele tena mtilie kifuuni. Baada ya miezi mitatu ya 'fungate season 2' urudi hapa kuomba ushauri,lmao!
 
Hehehe! Hivi wewe unaweza kujifananisha na babu yako kwa lolote? Kiuchumi? Kiafya? Hata lifestyle? Iga tembo kunya uone msamba utakufanzaje!
Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ahsante sana mkuu,yani ktk jf members waliouchangia uzi huu mpaka sasa wewe ndiye mwenye akili zaidi,yes binafsi napenda kudeka so nikiwa na wawili ntaenjoy sana,thanks a lot mkuu kwa ushauri.
When it is the right time ntakutafuta uje ushuhudie jinsi nntakovyoongeza jiko la2.
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu.
 
Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wangu ningekupa like kama ningekuwa na Pc. Ni kweli ulouasema. Ndo maana watu wanaishia kupelekeshwa na wengine kutembea na vimada nje na kurudi na maradhi
 
Hahaha! This time around wanaume mtanyooka tu!

Sasa mkeo kakuruhusu kwa roho safi uoe, unaogopa! Hamia huko miezi 3 mfululizo, yeye mpe unga na mchele tena mtilie kifuuni. Baada ya miezi mitatu ya 'fungate season 2' urudi hapa kuomba ushauri,lmao!
Ahsante king'asti hili nalo neno,siyo mchele tuu,mpaka my atm card ntamuachia lol!
 
Mkuu spika jaribu kuiga mfano wa Mzee Yusuf utaimudu tu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom