My wife ameniruhusu kuongeza mke wa2,ushauri pls!

Kanza huyo Bi Mdogo mtarajiwa anajua kuwa una mke na ameridhia?
 
Hapo tu mna mke mmoja na wanatembea nje ya ndoa hadi mnadata. Mkiongezea mtandao utakuwa wa optic fibre,lol! Ama kweli akili ni nywele!
Binafsi tangu nimeoa 10yrs ago nikiwa na 21yrs old sijawahi tembea njee ya ndoa,na hata huyu bi mdogo mtarajiwa sitarajii kumgusa mpaka siku ntakayomuoa!na huo ni msimamo wake pia,so sio kweli kwamba akioza1 ni wote wameoza.
 
Ukoloni umeharibu utamaduni wetu waafrika wa kuoa wake zaidi ya mmoja,nani babu yake ambaye hakuwahi kuoa wake wawili?udhungu ndo unatufanya wanaume tusiishi maisha marefu kwa kuendekeza ndoa ya mke mmoja,matokeo yake mke anakuperekesha kama mpira,wakati ukioa wawili,lazima kila mmoja awe na adabu kulinda ndoa yake,oa ndugu yangu,nakupa uhakika utaishi vizuri mno Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
nani awe na adabu?baadhi ya Mabibi wa zamani ndo waliweza kuvumilia wanawake wa sasa hivi hatuwezi, ukijitia we kidume sana unaoa wake wengi hao wakezako wanatafuta spea tair na wanagawa uroda mbaya na bado wanapishana kwa waganga kukuroga, chezea wanawake wa sasa km hujawa chizi weye
 
spikama bro, nitakupm. Ila kwa haraka haraka angalia sana usije ukawa unataka kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.

jiulize maswali haya kwa makini sana a nisamehe sana kama nitakuchosha kusoma maelezo marefu:-
1) mke wangu ameniruhusu kwa upole na unyenyekevu je aliwahi kuhisi ama kufikiri naweza kuoa mke wa pili?
2) kama aliwah kufikiri hivyo nini sababu? wakati katika mazingira ya kawaida alitegemea awe yeye peke yake?
3) mke katoka kujifungua mwezi sasa je kweli hajachukulia hii kama sababu?
4)je niuamini vipi upendo na upole wa mke wangu juu ya hili swala? ni wa kweli au nimtego au ni kwasababu hana jinsi?
5) bi mdogo ni mzuri sawa na ananipa raha sawa lakin je atamudu maisha ya mitala?
6) nitafanyaje mitala hii iwe na amani? kwa mkubwa nitaacha atm card kwa mdogo je?
7) kama mdogo ana kidumu je nitaweza kukimudu wakati mm shughuli zani ni za kusafiri na pia nitahitajika kupanga zamu?
8) alivyo navyo bi mdogo siwez kuvitengeneza kwa huyu mkubwa iliniwe na mke mmoja tu kupunguza stress?
9) mkubwa nimeyazoea mapungufu yake huyu mdogo je ni malaika? mapungufu yake naweza kuyazoea? itanichkua muda gani? na ni yepi? na kwanini yakawepo?
10) muda wote uliomuaminisha huyu mdogo kuwa utamuoa, je, tena mke wapili hajatengeneza defence vs dada yake? tena waalim dunia na magwiji ya jiji kama akina gfsonwin hwajakutana naye wakampa shule?

11) je naoa ili nini? kutimiza sheria? au kupata ninachokikosa ndan ya ndoa? ama kuongeza idadi ya watoto?
12) je nitaweza kuwapenda sawa wake wote to such extent kuwa sitawawekea uadui?
13) naweza kumudu kuhudumia na kuwajibika kwa familia zote mbili? ukweni kwa dada mtu na ukweni kwa mdogo mtu?
14) kipato changu na life span yangu pamoja na investments zangu zitamudu kuhudumia watoto wote katika maisha haya ya leo? na je sitakuja kusababisha watt wakagombana kwa kukosa uwiano sawa wa mgawanyo wa mali katika makuzi yao? je nitakapo kufa hizi investments zitatosha kweli kuendeleza kuwatunza na watagawana kwa usawa? au hazitatosha na kuwaacha wakisononeka ama hata wakigombana?
15) upendo huu wa wake zangu kama utakuwepo hautakuwna ajenda ya siri nyuma yake?
16) je nipo tayri kuingia katika mtandao mkubwa wa ngono hali nikijua kuwa watu wengi siku hizi wana cheat??
!17) sifa ya moyo ni kutamani, ila sifa ya akiali ni kuamua kwa busara sasa je mimi naamua kwa kuongozwa na sifa za moyo ama sifa za akili?

jijibu haya maswali nisamehe sana majibu yakiniridhisha basi namna ya kuanga zamu nitakwambia, tena iyo fomula yako ya kwenda kwa mdogo miez 3 fungate haipo. gwiji la jiji ntakupa kanuni ambayo wote wataenjoy.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi tangu nimeoa 10yrs ago nikiwa na 21yrs old sijawahi tembea njee ya ndoa,na hata huyu bi mdogo mtarajiwa sitarajii kumgusa mpaka siku ntakayomuoa!na huo ni msimamo wake pia,so sio kweli kwamba akioza1 ni wote wameoza.

mkeo wa kwanza ana umri gani mkuu na watoto wangapi,na second 1 umri wake ni ngapi.
 
spikama bro, nitakupm. Ila kwa haraka haraka angalia sana usije ukawa unataka kujikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.

jiulize maswali haya kwa makini sana a nisamehe sana kama nitakuchosha kusoma maelezo marefu:-
1) mke wangu ameniruhusu kwa upole na unyenyekevu je aliwahi kuhisi ama kufikiri naweza kuoa mke wa pili?
2) kama aliwah kufikiri hivyo nini sababu? wakati katika mazingira ya kawaida alitegemea awe yeye peke yake?
3) mke katoka kujifungua mwezi sasa je kweli hajachukulia hii kama sababu?
4)je niuamini vipi upendo na upole wa mke wangu juu ya hili swala? ni wa kweli au nimtego au ni kwasababu hana jinsi?
5) bi mdogo ni mzuri sawa na ananipa raha sawa lakin je atamudu maisha ya mitala?
6) nitafanyaje mitala hii iwe na amani? kwa mkubwa nitaacha atm card kwa mdogo je?
7) kama mdogo ana kidumu je nitaweza kukimudu wakati mm shughuli zani ni za kusafiri na pia nitahitajika kupanga zamu?
8) alivyo navyo bi mdogo siwez kuvitengeneza kwa huyu mkubwa iliniwe na mke mmoja tu kupunguza stress?
9) mkubwa nimeyazoea mapungufu yake huyu mdogo je ni malaika? mapungufu yake naweza kuyazoea? itanichkua muda gani? na ni yepi? na kwanini yakawepo?
10) muda wote uliomuaminisha huyu mdogo kuwa utamuoa, je, tena mke wapili hajatengeneza defence vs dada yake? tena waalim dunia na magwiji ya jiji kama akina gfsonwin hwajakutana naye wakampa shule?

11) je naoa ili nini? kutimiza sheria? au kupata ninachokikosa ndan ya ndoa? ama kuongeza idadi ya watoto?
12) je nitaweza kuwapenda sawa wake wote to such extent kuwa sitawawekea uadui?
13) naweza kumudu kuhudumia na kuwajibika kwa familia zote mbili? ukweni kwa dada mtu na ukweni kwa mdogo mtu?
14) kipato changu na life span yangu pamoja na investments zangu zitamudu kuhudumia watoto wote katika maisha haya ya leo? na je sitakuja kusababisha watt wakagombana kwa kukosa uwiano sawa wa mgawanyo wa mali katika makuzi yao? je nitakapo kufa hizi investments zitatosha kweli kuendeleza kuwatunza na watagawana kwa usawa? au hazitatosha na kuwaacha wakisononeka ama hata wakigombana?
15) upendo huu wa wake zangu kama utakuwepo hautakuwna ajenda ya siri nyuma yake?
16) je nipo tayri kuingia katika mtandao mkubwa wa ngono hali nikijua kuwa watu wengi siku hizi wana cheat??
!17) sifa ya moyo ni kutamani, ila sifa ya akiali ni kuamua kwa busara sasa je mimi naamua kwa kuongozwa na sifa za moyo ama sifa za akili?

jijibu haya maswali nisamehe sana majibu yakiniridhisha basi namna ya kuanga zamu nitakwambia, tena iyo fomula yako ya kwenda kwa mdogo miez 3 fungate haipo. gwiji la jiji ntakupa kanuni ambayo wote wataenjoy.
Thank u my dada wa ukweli.
Nimekupata vema.Ngoja niandae majibu mazuri kwako,but ni vema kama tutaenda kule kwenye pm au wewe waonaje?
 
Last edited by a moderator:
nani awe na adabu?baadhi ya Mabibi wa zamani ndo waliweza kuvumilia wanawake wa sasa hivi hatuwezi, ukijitia we kidume sana unaoa wake wengi hao wakezako wanatafuta spea tair na wanagawa uroda mbaya na bado wanapishana kwa waganga kukuroga, chezea wanawake wa sasa km hujawa chizi weye
Angel Msoffe umenena kweli ma dia miye ninayo mfiano hai kabisa mwaka 1981 mjomba alioa mke wa pili shangaziyetu aliyekuwa bi mkuba alituita kumsaidia kusafisha chumba na mazingira kwa ujumla ili mjomba alete mke. kweli tulisafisha huwez kuamin hadi kitanda shangaazi alitandika na kueke taulo na kitenge na kandambili za ndani kwaajili ya bi mdogo hayo aliyafanya ndan ya nyumba yake, kwamba katoa chumba cha mke mwenzie.

bwana alipooa akarudi nyumbani na mkewe sisi tulikuwa na shangazi ili kumfariji waliingia chumbanai wakalala asubuhi shangazi kesha tuamsha tuandae maji ya kuoga ya mjomb ana shangazi mdgo, na hata salamau ilikuwa hadi shangazi aende akawagongee awasalimie na kuwatengea msosi.

imagine maisha kama hayo shangaz aliish na mwenzie kwa upendo kweli lakin huyu mdogo alinyanyua mabega juu na kuamuona shangazi mjinga na poyoyo sikufichi alikutana na magwiji wa maisha miez sita haikupita uncle alikiona cha mtema kuni. yaani ilibaki historia kuwa alioaga mke wa pili na alirudi kwa magoti kuomba samahani kwa mkewe.

wakipendana sana hawa ujue wanapanga kumuua au kucheat yahitajika hekima sana katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Ungejibia hapa mkuu tukapata na sie idea, manake nawaza kusaka mume wa pili. Ngoja nione kama haya majibu yako yatanishawishi.
Thank u my dada wa ukweli.
Nimekupata vema.Ngoja niandae majibu mazuri kwako,but ni vema kama tutaenda kule kwenye pm au wewe waonaje?
 
miezi hiyo mitatu utakayomuacha mkeo mkubwa, nani atakuwa nalima shamba lake na kupalilia pale magugu yanapoota? mnatafutaga mabalaa wenyewe, wazuri wanazaliwa kila kukicha, utatamani sana tu watoto na bado, nikikuwekea picha ya twins wangu hapa utaanguka na ndio kwanza ni makinda. kama hakuna tatizo la msingi la kupelekea wewe kuoa mke mwingine wanaume , hebu muwe na staha, kha!
 
Hahaha! This time around wanaume mtanyooka tu!

Sasa mkeo kakuruhusu kwa roho safi uoe, unaogopa! Hamia huko miezi 3 mfululizo, yeye mpe unga na mchele tena mtilie kifuuni. Baada ya miezi mitatu ya 'fungate season 2' urudi hapa kuomba ushauri,lmao!
wakituona kimya wanatuonaga cc wendawazimu! nenda kaoe uone atakavyopata mfariji wake! huwa mnajisahau kweli, kisa ni mkeo umemuweka ndani, believ me, n read my lips! it will eat on your side! lmao!
 
nilivyo na wivu, na ninavyompenda yule kaka,(hubby) uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naweza data! Lord Have Mercy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom