We we nae bana kwanini hukumuuliza?? Aliyeuza cheni feki nae kapokea noti feki ngoma droo hapo
Mie namtoa kinoma huyu demu hata ungekuwa wewe kama unavyosema sidhani kama ungeniibia
Sijui niko je!!!
Kama ni Demu naona ni halali yake tu kukuibia.
Hivi hili jina unajua mi silipendi, khaaaa...........................h
As a rule....siwezi kuchukua mwanamke wa hivi....kwa nini na wewe usimuulize from the start ukajua hali yake, ana mahitaji gani., kisha ukamtimizia ndo mkala tunda kwa raha?
Inavoonekana ngono mnafanya kweli ngono but you are not making love
kwa sababu kama unamzimia kama unavosema, yeye hakuzimii anakuchuna. Na kama unamzimia, kwa nini umempangia chumba cha kufanya ngono tu? I mean kwa nini usimpe respect kwa kumweleza ukweli kwamba labda home ni noma nk
Inaleta picha kwamba, huyo ni wale madada poa sijui mnawaitaje...mi hata sijui, lakini ukiwa na hao.....hakuna kuzimiana ni kufanya kilichokupeleka...ndo maana anakuibia...sasa huyo sio GF in the strict sense mkuu....huyo niu mjasiriamali na usijidanganye kuwa unamzimia....
wanawake wengi , nadiriki kusema takriban wote husachi poket na walet za wenzi wao hasa bongo. Tabia chafu kabisa
Ndio nani huyo vile???!!
Sijui niko je!!!
Kama ni Demu naona ni halali yake tu kukuibia.
Hivi hili jina unajua mi silipendi, khaaaa...........................h
Eti gelofriend wake anaitwa Demu.
Sasa analalamika nini??
Mi nikimuona nitamwambia na vingine anavyotakiwa aibe.
We we nae bana kwanini hukumuuliza?? Aliyeuza cheni feki nae kapokea noti feki ngoma droo hapo
LD, niliwahi kusema hapa kuwa haka kajina kananiudhi sana. kuna mtu sikumbuki nani akaniambia eti ni jina la kawaida....... ukweli siku ntu akiniita demu nitamind sana
Umeona eeh,
Kaibiwa na demu wake, anatudanganya girlfriend wake.
Halafu analo pango la kudemulia, khaaaaaaaah, aibe na PIN na kadi ya benki kabisa!!!
LD, niliwahi kusema hapa kuwa haka kajina kananiudhi sana. kuna mtu sikumbuki nani akaniambia eti ni jina la kawaida....... ukweli siku ntu akiniita demu nitamind sana
Ha ha ha wewe umenichekesha kwa nguvu aisee hivi alikuwa bado hajamwibia ATM kamchelewesha sana huyo yaani hiyo unapinga panga kila kitu yeye si aulizi bana Demu mzuri sana huyo
Yani huyu DEMU, amechelewa sana, lakini uzuri anasema bado anamzimia......
Nahisi bado atakuwa na nafasi nzuri ya ku do the need full!!!
Ukimuona mwambie asicheze mbali..................
Chelle wangu wala hana haja hiyo. Apate tabu ya nini, tatizo lenu mnaokota vimeo halafu mnakuja kulalamika hapa.Muongo mkubwa wewe,mnaenda kuchukua madada poa,hamuwalipi vya kutosha,mnakuja na data za kipuuzi hapa,eti takriban wote......!!!
2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga, je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?
Wanawake bwana, hata hamueleweki mara haki sawa, mara sijui nini....Sasa wewe unataka bf wako akupe hela ili iweje. Kama mmekubaliana kuwa pamoja si wote mnafurahia, mimi nashangaa hii habari ya kudai upewe hela inatoka wapi. Halafu mkishapewa mnaanza kulalama oooh tunataka kuwa sawa. With this kind of mentality mtachezewa milele.Kwa mfano wewe ni boyfriend wangu, hunipi hela ya kununulia chupi, sabuni, mafuta, kupendezesha nywele,
na mimi niwe kama msichana, unafikiri nitafanya nini?
Lakini kama unanipa, unajali mahitaji yangu sikuibii,
sio unaona napendeza wala huulizi, nina simu mpya huulizi, kiatu kipya huulizi, nanukia pafume nzuri hujui nimepata wapi.
Unachojua wewe kuchakachua tu, daaaaaah sitaniii nikipata nafasi ya kukuibia nakuibia kwa kweli.
Kwa hiyo kama unamfanyia hayo yote halafu anakuibia hafanyi vizuri. Mwambie abadilike.
Na wewe kama humpi hela, uwe unampa, hujui ukiona vyaelea vimeundwa kaka wewe!!!
Lakini yote katika yote, mshahara wa dhambi ni mauti.