My girlfriend ananiibia hela yangu

We we nae bana kwanini hukumuuliza?? Aliyeuza cheni feki nae kapokea noti feki ngoma droo hapo
 
As a rule....siwezi kuchukua mwanamke wa hivi....kwa nini na wewe usimuulize from the start ukajua hali yake, ana mahitaji gani., kisha ukamtimizia ndo mkala tunda kwa raha?

Inavoonekana ngono mnafanya kweli ngono but you are not making love

kwa sababu kama unamzimia kama unavosema, yeye hakuzimii anakuchuna. Na kama unamzimia, kwa nini umempangia chumba cha kufanya ngono tu? I mean kwa nini usimpe respect kwa kumweleza ukweli kwamba labda home ni noma nk

Inaleta picha kwamba, huyo ni wale madada poa sijui mnawaitaje...mi hata sijui, lakini ukiwa na hao.....hakuna kuzimiana ni kufanya kilichokupeleka...ndo maana anakuibia...sasa huyo sio GF in the strict sense mkuu....huyo niu mjasiriamali na usijidanganye kuwa unamzimia....
 
Mie namtoa kinoma huyu demu hata ungekuwa wewe kama unavyosema sidhani kama ungeniibia

Sijui niko je!!!
Kama ni Demu naona ni halali yake tu kukuibia.

Hivi hili jina unajua mi silipendi, khaaaa...........................h
 
As a rule....siwezi kuchukua mwanamke wa hivi....kwa nini na wewe usimuulize from the start ukajua hali yake, ana mahitaji gani., kisha ukamtimizia ndo mkala tunda kwa raha?

Inavoonekana ngono mnafanya kweli ngono but you are not making love

kwa sababu kama unamzimia kama unavosema, yeye hakuzimii anakuchuna. Na kama unamzimia, kwa nini umempangia chumba cha kufanya ngono tu? I mean kwa nini usimpe respect kwa kumweleza ukweli kwamba labda home ni noma nk

Inaleta picha kwamba, huyo ni wale madada poa sijui mnawaitaje...mi hata sijui, lakini ukiwa na hao.....hakuna kuzimiana ni kufanya kilichokupeleka...ndo maana anakuibia...sasa huyo sio GF in the strict sense mkuu....huyo niu mjasiriamali na usijidanganye kuwa unamzimia....

Amesema ni demu kaka!!!
Mi namsifu kwa kumwibia, naomba uendelee naye tu apate hadi ya kununulia kiwanja kama inawezekana!!!
 
Sijui niko je!!!
Kama ni Demu naona ni halali yake tu kukuibia.

Hivi hili jina unajua mi silipendi, khaaaa...........................h

LD, niliwahi kusema hapa kuwa haka kajina kananiudhi sana. kuna mtu sikumbuki nani akaniambia eti ni jina la kawaida....... ukweli siku ntu akiniita demu nitamind sana
 
Eti gelofriend wake anaitwa Demu.
Sasa analalamika nini??
Mi nikimuona nitamwambia na vingine anavyotakiwa aibe.

Mie alipoita jina Demu ndo alinikata stimu yote ya kuchangia nikampa kubwa tu
 
We we nae bana kwanini hukumuuliza?? Aliyeuza cheni feki nae kapokea noti feki ngoma droo hapo

Umeona eeh,
Kaibiwa na demu wake, anatudanganya girlfriend wake.
Halafu analo pango la kudemulia, khaaaaaaaah, aibe na PIN na kadi ya benki kabisa!!!
 
LD, niliwahi kusema hapa kuwa haka kajina kananiudhi sana. kuna mtu sikumbuki nani akaniambia eti ni jina la kawaida....... ukweli siku ntu akiniita demu nitamind sana

FP naoan wewe unalipenda kidogo yaani mimi ukiniita Demu hakiyamungu sikuitikii wala kukusemesha milele Demu ndo nini bana
 
Umeona eeh,
Kaibiwa na demu wake, anatudanganya girlfriend wake.
Halafu analo pango la kudemulia, khaaaaaaaah, aibe na PIN na kadi ya benki kabisa!!!

Ha ha ha wewe umenichekesha kwa nguvu aisee hivi alikuwa bado hajamwibia ATM kamchelewesha sana huyo yaani hiyo unapinga panga kila kitu yeye si aulizi bana Demu mzuri sana huyo
 
LD, niliwahi kusema hapa kuwa haka kajina kananiudhi sana. kuna mtu sikumbuki nani akaniambia eti ni jina la kawaida....... ukweli siku ntu akiniita demu nitamind sana

Acha tu FP, kuna kaka mmoja nilikutana naye siku moja katika maongezi ya hapa na pale, nikamuuliza kaka umeoa?
Akaniambia sijaoa. Nikamuuliza una mchumba? Akasema sina hata mchumba wala girlfriend, niko na DEMU fulani hivi napoteza poteza naye muda.

Duuu nikihisi mtu ananiita demu, sijuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................ngoja nisiseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ha ha ha wewe umenichekesha kwa nguvu aisee hivi alikuwa bado hajamwibia ATM kamchelewesha sana huyo yaani hiyo unapinga panga kila kitu yeye si aulizi bana Demu mzuri sana huyo

Yani huyu DEMU, amechelewa sana, lakini uzuri anasema bado anamzimia......
Nahisi bado atakuwa na nafasi nzuri ya ku do the need full!!!
Ukimuona mwambie asicheze mbali..................
 
Yani huyu DEMU, amechelewa sana, lakini uzuri anasema bado anamzimia......
Nahisi bado atakuwa na nafasi nzuri ya ku do the need full!!!
Ukimuona mwambie asicheze mbali..................

Mie nitamtafuta huyo DEMU nimpe mbinu za kivita amuibie mpaka ajisikie poa
 
Muongo mkubwa wewe,mnaenda kuchukua madada poa,hamuwalipi vya kutosha,mnakuja na data za kipuuzi hapa,eti takriban wote......!!!
Chelle wangu wala hana haja hiyo. Apate tabu ya nini, tatizo lenu mnaokota vimeo halafu mnakuja kulalamika hapa.
 
2livyamaliza kuivunja amri ya 6 mie nikaenda kukoga, je nimfanyaje huyu demu na tabia mbaya yake hii mie bado namzimia?

Acha akuibie kwanza mnatenda dhambi kwa kuvunja amri ya sita...ndio ushauri wangu.
 
Kwa mfano wewe ni boyfriend wangu, hunipi hela ya kununulia chupi, sabuni, mafuta, kupendezesha nywele,
na mimi niwe kama msichana, unafikiri nitafanya nini?

Lakini kama unanipa, unajali mahitaji yangu sikuibii,
sio unaona napendeza wala huulizi, nina simu mpya huulizi, kiatu kipya huulizi, nanukia pafume nzuri hujui nimepata wapi.
Unachojua wewe kuchakachua tu, daaaaaah sitaniii nikipata nafasi ya kukuibia nakuibia kwa kweli.

Kwa hiyo kama unamfanyia hayo yote halafu anakuibia hafanyi vizuri. Mwambie abadilike.
Na wewe kama humpi hela, uwe unampa, hujui ukiona vyaelea vimeundwa kaka wewe!!!

Lakini yote katika yote, mshahara wa dhambi ni mauti.
Wanawake bwana, hata hamueleweki mara haki sawa, mara sijui nini....Sasa wewe unataka bf wako akupe hela ili iweje. Kama mmekubaliana kuwa pamoja si wote mnafurahia, mimi nashangaa hii habari ya kudai upewe hela inatoka wapi. Halafu mkishapewa mnaanza kulalama oooh tunataka kuwa sawa. With this kind of mentality mtachezewa milele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom