My friend is looking for a Partner, and maybe a husband kama mambo yataenda poa

Kama una nia ya kutafuta mwenzi wako utafanikiwa...
Endelea kutafuta.....
Usichoke
 
Wana JF naomba msinitafune, mambo ya kutumwa email nilikosea jamani
naomba muwasiliane nae kwenye delmonte198@hotmail.com
mkini PM msiwe na wasiwasi ujumbe nitaufikisha. samahani sana kama kuna walioshindwa kuwasiliana nae.

A friend of mine asked me post this for her. She's serious, so take it serious too.

Quote:
"natafuta mwanamme ambaye tunaweza kuanza maisha mapya kama mume na mke kama tutaelewana.
mimi niko kwenye mid 40s. natafuta mwanamme mwenye umri kati ya miaka 35 na 55 ambaye hana mke lakini awe na watoto na hahitaji tena mtoto maana mimi siko tayari kumpatia mtoto ila niko tayari kulea watoto wake. awe na ajira yenye kueleweka na kipato cha kati kama si cha juu. mwenye mawazo ya maendeleo ni muhimu japo tunaweza kupeana uelewa.
Unquote:
haya mlio single and serious jamani, dont let my friend down.

katembeza vibuti mwishowe mambo yamemchachia.. Sasa anajitangaza, by the way am 22yrs kama yupo tayari msaidie ni' PM
 
Hahitaji wanuka mikojo. tafuta vinuka mkojo wenzio

katembeza vibuti mwishowe mambo yamemchachia.. Sasa anajitangaza, by the way am 22yrs kama yupo tayari msaidie ni' PM
 
Ametoa mail adress yake, nina uhakika kabisa wenye nia wamewasiliana naye,ila hawa wanaokejeli humu ni kuwanyaukia tu wala wasimuumize kichwa.
 
Utakuwa ni wewe mwenyewe unatafuta halafu unajifanya rafki yako kwani yeye haiui Jf au kwa kuwa umeskia huku kwa ma-greant thinker ma mdogo bhana haya utampata mzee Rwaitama maana na yeye anatafuta mwenzi[/QUOTEh

Mwanaume gani akuoe halafu usimzalie mtoto? Huyo rafiki yako nahisi amekata tamaa. Mwambie aingine kwenye maombi au ni PM nikupe sala ya kumpa mume kama ana imani ya IBRAHIM. Huo umri ni mgumu sana kupata mume, lbda kwa maombi tu. Wengi watamtafuta na kuishia kitandani tu si ndoa.
 
Back
Top Bottom