My dream man!! Je wewe kaka una sifa hizi?

in public i b'liv you get to know a person even better,besides wengine tumezoea kuonyesha affections in public!

Is that so....?

and how can you consider lying to me,knowing so and so knows about you,and probaby will tell me your lies???

Don't be so naive and gullible. Peeps here don't use their real names....
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Hayo mengine tena...
 
Ukiwa umeoa raha sana... yani hapa tunaangalia vijana wanavyo kwenda mbio.
 
kumbe dada Tausi bado uko single ? all ze best

Mama wa kwanza.... bado niko singo mwenzio maana .... bado nachagua..vigezo vyangu si vile vya kila siku eti....
Wakati mashostito wangu wanatafuta mwenye mkwanja munene..mimi akha! Nataka mwenye faranga za kubadili mboga tu
Wakitaka mabishooo wenye macho mia mia kugonganisha mashosti..mie nataka yule wa kawaida kabisaaaaaa ambaye hata ukipishana naye humdhaniii..... sitaki mwenye mapozi wala kujishebedua.HABARI NDIO HIYO.... ZAT IZ ZE NYUZ!
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke
Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Mi sina hata moja hapo nadhani ndo nitakuwa mtu sahihi kwako,ni Pm tumalizane!
 
huyu anyetaka mwenzake awe na cfa kukuki yeye anasifa gani? Maana usitake mazuri kutoka kwa mwenzako,wakati wewe huna mazuri ya kumwonyesha mwenzako.Ndo ujembe wangu huo!!
 
Sijui kama nikweli unataka ushauri au ni kuleta changamoto hapa JF. Lakini nitatoa angalizo hapa na pale kama kianzio.
Mumu au mke hatafutwi kwa kutanguliza sifa uzitakazo, kwa vile hakuna wakati mtu anakuwa nazo zote.
Pia si sifa zote utaziweka hapa, kwa mfano wewe ni mlafi, unapenda kulakula kila wakati, je
ashakumu si matusi, Je unapenda tendo la ndoa kila mara au la???? staili zipi - utaweka hapa hilo?????????????????
je atawapenda ndugu zako, je ni mkarimu wa watu, je ni mcha Mungu (wewe je unapenda au la)

binti anaweza akawa na sifa hizo ulizosema lakini maisha yakawa HELL kwa sababu nyingine kabisa, yeye anataka mfanye tendo la ndoa kila wakati wewe hupendi, ana hulaka hiyo hivyo atakwenda tafuta nje, chanzo wewe humridhishi (lakini muache kazi au kupikia wageni mwende chumbani kidogo?????????????? nyama iungulie jikoni)
NI vyema kumfahamu kwa ukaribu wake ndipo utajua tabia zake nyingi vizuri ndipo uamue.
Chakufanya, WEWE pekee yako, usiweke hapa,
- andika vitu vyote, vyote, vyote unavyopenda wewe kwa uzito wake, hata kama ni vitu visivyo vizuri (kwani mtu hawezi kuzuia hamu yake wakati wote, ni ukweli mtupu ).
- halafu andika vitu vyote, vyote, vyote unavyochukia, hata kama ni vitu vizuri lakini hupendi, kwa mfano, hupendi mtu anapenda usafi kupindukia, hupendi mtu anayenyenyekea sana, hupendi mcha Mungu sana n.k. n.k. ) mradi ni kweli roho yako kwa ukweli haipendi.

HALAFU katika hayo yote angalia ni yapi unaweza kuvumilia, yapi unaweza jifunza kuyakubali yapi HUTAKI HUTAKI HUTAKI na huna mjadala
Ndipo uaanze kuchanjua, HAT HII HAIKUHAKIKISHII. nitakupa mfano mmoja wa kweli unavyoonyesha jinsi watu tanavyo tofautiani kihalisi,
nilipokuwa chuo tulikuwa tunasoma na wadada kama kumi tu kwenye kozi yetu. sasa katika hao kuna wadada wawili walikuwa hivi,
+++mmoja alikuwa anapenda sana boyfriend/mume wake lazima awe anavuta sigara, yaani kama huvuti sigara wala usizungumze nae mambo ya mahusiano, hataki hataki hapendi hapendi na alikuwa anasema kabisa, na mpaka leo ameolewa na mtu anayevuta sigara kama kuvuta hewa na utawakuta wanacheka na kufurahi mara nyingi ( ni miaka 18 toka wameoana)
+++ wa pili alikuwa anachukia mtu anayevuta sigara, yaani hata kumwona tu anakasirika, kabisa hata kuongea kunasitishwa, HATAKI HATAKi, HAPENDI HAPENDI na usithubutu hata kumsogelea atakufokea na akimbie mabli na wewe
=============ONA SASA BINADAMU WALIVYO, HAWA WOTE WASICHANA WAZURI TU WOTE WANASOMA CHUO KIKUU, WOTE WACHAGA, WANASOME KOZI MOJA, WANAKAA HALL 3 WOTE, WOTE WAMEOLEWA MPAKA LEO ========================
Mtazamo wao TOFAUTI KABISA - Binadamu ni wagumu kueleweka mpendwa.

BINADAMU WAKO VILE WALIVYO SIO WANAVYOTAKIWA KUWA, hata wezi wana wapenzi wao, mafuska wana wapenzi wao utashangaa, TAFUTA TU WAKO.[/COLOR]
 
Hebu na wewe tuambie ukoje. Labda unaweza kunikonvisi nimpige chini mai waifu wangu na wasaidizi wake watatu.
 
Mimi sifa zote ninazo kasoro moja..........kila mwanamke ananipenda na kutaka nilale naye!!!
 
Sina uhakika kama hii ni kweli unatafuta mtu au ni changa moto hapa JF kuijadili. Kama ni kweli au la, naomba nitoe angalizo. Mara nyingi mambo yanayoleta shida na ugomvi kati ya wenza wawili ni mambo yasiyo na maana lakini ndi hasa mambo yanayomsibu mtu. Hakuna good reasoning katika tabia na mapenzi ya mtu. Hapa umeweka mambo unayoyaona wewe, lakini hujaweka mambo mengine nyeti pia katika maisha ya wawili (pengine si mahali pake) lakini utashangaa watu wakiulizwa ni mume gani wanataka watakupa vigezo muafaka lakini wakifika kuchagua utashangaa vitu vinavyowavuta, RANGI TU YA NGOZI inaweza ikawa ndio kivutio.
Mara nyingi kuna mambo mengi ambayo hatuyaweki wazi toka mwanzo, ntatoa mfano,watu wengine wanahamu ya tendo la ndoa kila mara, hata kama ni mume anaweza akaja huko akakuta unapika na akataka uache kila kitu mwenda chumbani kidogo, wewe unafanyaje pengine utakataa, kwa sababu wewe hauko kwenye mood, mara mbili, mara tatu nini kinatokea???????????????? je ulijua hayo, maana vipengele vyako pale havionyeshi hilo. je kama wewe hujui kupika vizuri nae kila siku anataka pilau, lasanya ya kifaransa, mtori wa kichaga nawe mmakonde, inakuwaje?????????? maisha magumu ndani ya nyumba hayasababishwi na mambo ya msingi la hasha hayo huwa kisingizio tu kwa vile yale ya kweli hayawezi semwa waziwazi, wengine wanapenda staili hii nawe unaichukia SASA inakuwaje???!!!!!!!!!!!! anapenda ndugu zako, mama yako akija atamfurahia vile ambavyo wewe ungetaka, asije akawe anachelewa kurudi kwa vile mama mkwe anamboa, je akija mdogo wako bado mbichi naye asimwangalie hata kama ni kwa upendo wa kweli kwa ndugu yako (nao wakati mwingine wanamtamani shemeji yao, anapendeza wakamjia na kanga moja) mpendwa yako mengi ya kuangalia na mengi hayakai hapa. Nina mfano halisi mmoja, nilipokuwa chuo, darasa letu lilikuwa na wadada kumi, wawili kati ya hao walikuwa hivi
- mmoja alikuwa (na bado) anachukia boyfriend/mme anaevuta sigara, yaani hata kumwangalia tu mtu anayevuta sigara anakasirika hata kula anaweza acha, HAPENDI HAPENDi, HATAKI hakuna mjadala hapo na hataki kitu hapo,
- wa pili, anataka na anapenda boyfriend/mme anayevuta sigara, yaani alikuwa anasema yeye lazima aolewe na mme anavuta sigara tu (aliolewa na mvutaji, ni miaka 18 mpaka sasa na wako safi mpaka leo)
++++ sasa, wote hawa wadada walikuwa wazuri tu wa maumbo, wote wanasome chuo kikuu, kozi moja, wote wachaga++++++++++
je kama hao wangeandika mambo ya mumu wanaetaka wangeweka hayo???? je huyu anaependa sigara si kila mmoja angesema wewe vipi sigara inaharibu afya n.k. n.k. n.k. lakini ndio anachopenda na yuko tayari kugombana kwa hilo.

Wazo langu,
- Kwanza kaa peke yako, andika vitu vyote, vyote, vyote unavyopenda hata kama ni vibaya, vibaya namna gani lakini ndio vitu unapenda (hata kama ni kula chakula uchi huku umekaa juu ya choo) hii si kwa kumridhisha mtu mwingine bali wewe mwenyewe, usijali ni vibaya kijamii, wako wadada wanapenda majambazi, hata wengine wanapenda walio rafu katika tendo la ndoa, sio soft soft (mdada mwingine yeye alikuwa hapendi romance romance, anataka moja kwa moja kwenda kwenye shughuli yenyewe, na alikuwa anasema hivyo) tutamcheka lakini ndicho anachotaka. HIVYO JIONYESHE UNATAKA NA KUPENDA NINI KUKWELIIII
- PILI endelea hivo hivyo ukiwa peke yako, unachukia nini kwa moyo wako wote, hata kama ni kitu kizuri kwa jamii, pengine hupendi mtu msafi sana, hupendi mcha Mungu sana, hupendi kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, hupendi kupika, hupendi kusalimi salimu watu hata kama ni wakwe zako, n.k. n.k. n.k.
Baada ya hayo ndipo sasa unasema katika hayo yote,
ni yapi niliyotayari kuyavumilia na yapi sitaki mjadala
yapi niko tayari kuyapokea hata kama siyapendi
YAPI SITAKI WALA KUSIKIA hata kama ni mazuri, (wewe unasema hutaki mme shingo feni, lakini mmimi namfahamu mke mmoja anapenda wanawake wengine wakimtaka mme wake, maana anajidai kumbe ana kifaa, na huwa anahakikisha anapendeza ili wamtamani, na hata anamwambia aongee nao tu na akiweza kumtoroka akapa kidogo sio mbaya HAYA SASA, UKISHANGAA YA MUSA UTAONA YA FIRAUNI, nae kaolewa wana watoto mpaka leo INAKUWAJE
+++++++++++ MPENDWA WATU WAKO VILE WALIVYO SI VILE WANATAKIWA KUWA+++ na hiyo haiwabadilishi
 
Sipendi kushindania mwanaume
Sipendi mwanaume anayependwa na kila mwanamke

Sipendi mwanaume mwenye pesa za kuzidi
Sipendi mwanaume mwenye akili nyingi sana hadi anakuwa mjeuri
Sipendi mwanaume mwenye macho mia mia.
Je wewe ni mwenye sifa hizo?
Kwa akina kaka tu...( kina dada ruksa kuchagiza mada)

Hivi naombeni kuuliza wajameni..Kupenda mtu anaamua au hutokea tu bila mtu kupanga wala kujijua? na hivi ikitokea uliyempenda anapendwa na wanawake/wanaume wengi unaacha kumpenda huta pambana ili awe wako?
 
Back
Top Bottom