My all time best bongo fleva list

Mm ngoma za enzi hizo nazozikubali ni
1:mtoto idd, ubinadamu kazi,na sonia hizi zote ni za sir nature kiroboto a.k.a kibra

2:stori tatu ___nyimbo ya jay mo
3:ice cream __nyimbo ya noorah
4:latifa__ nyimbo ya mb dogg
5:zari la mentali __prof j vs nature
6:nampenda yeye__mh temba
vs dully
7:nyammizi,salome,___dully sykes
8:mapozi__mr blue bayser
9:zeze na girlfriend ___t.I.d mnyama
10:niko busy ya jmo
Mkuu nimependa list yako
 
Salome - Dully
Barua- daznundaz
Zali la mentali - Prof Jay
Siri yangu - Jaydee
Mapozi- Blue
Mikasi- Ngwair
Namba8 - dazbaba
Sister sister - GK
Basi kama vipi
Icecream- Noorah
Wachumba 30- john m.
Sikiliza - dataz ft Joan
Mzee wa busara
Sitaki demu- jnature
Mtoto wa geti kali

List is endless
Mkuu umesahau ukurasa wa pili nurah
 
Uswahilini Matola -kosa la marehemu hakuva kondom,

Sister Siste ya Gk

na

kazeze ya OCG ,

aisee hatari sana
 
Mimi zangu hizi hapa:
1.Chini ya 18 - Sugu
2.Buzi - Mr.Paul ft Inspector Haroun
3.Sikiliza - Mangwair ft Jaydee
4.Bongo Dsm - Prof Jay ft Jaydee
5.Inategemea na mtu,Raha Kamili rmx - A.Y
6.Safi hiyo - A.Y, FA ft Ray C
7.Mabinti dam dam - Mwanafalsafa
8.Unanitega - Mwana FA, Noorah ft Pauline Zongo
9.Ntakufaje - Crazy GK
10.Hii leo - East Coast Team
11.Blue blue,Mapozi,Kiss Kiss,Like a Star,Roho zawauma - Mr.Blue
12.Ntakufa nawe - Abby skills ft Mr.Blue
13.Joanita - Pingu na Deso ft Mr.Blue
14.Niskilize mimi - Pig black ft Mr.Blue
15.Ghetto langu,She gotta Gwan - Late Mangwair
16.Latifa - MB Dogg
17.Chungwa,Rafiki - Suma lee
18.Ice Cream - Noorah
19.Dully Sykes - Nyambizi, Mr.Misifa, Ladies free, Handsome, Bijou.
20.Mbona - PNC ft Mr.Blue
22.Dear,swahiba - Abby Skills
23.Nikupe nini,Dingi, Nihukumu mola, Niaje, Taswira - Mandojo na Domokaya
24.Wanok nok - Mandojo na Domokaya ft Jaydee
25.Nitoke Vipi - Bwana Misosi
26.Mkiwa - K sal
27.Jahazi, Starehe, Mkasa wa boss, Jirushe - Ferouz
28.Asali wa moyo rmx, Byee Byee, Tunajirusha - Inspekta Haroun a.k.a Babu
29.Nipe nafasi - Park lane
30.6 in the morning - CP
31.Hit songs zote za Juma Nature toka kwenye album ya Ubinadamu Kazi na Ugali.
32.Kamua,Ndio zetu,Umri.
33.Msela - TMK ft Late Mangwea
34.Lover boy,Dar Mpaka Moro,Twenzetu - Chegge
35.Nampenda yeye - Temba ft Dully Sykes
36.Nipe Mimi - Temba ft Ray C
37.Usinipe lawama - Chid Benz ft Matonya.
38.Umenisoma - Chid Benz
39.Nataka niwe wako - Maunda zorro
40.Sogea sogea,wanifata wa nini - Ray C
41.Siamini, Vaileti,Dunia mapito - Matonya
42.Bongo.com,ring on it, like that - TNG Squad
43.Hao,Zamu yangu,Hawapendi,Muda - Joh Makini
44.Ndio zetu, mchizi wangu, hawatuwezi - Nako 2 Nako
45.Nilipotoka - Geez Mabovu ft Joh Makini
46.Nicheki, Mkuu wa mkoa - O Ten
47.Elimu.com, Sauti ya gharama - D Knob ft late Mez B
48.Basi Kama Vipi - Late Mez B ft Ray C
49.Una - Prof Jay ft Mangwair
50.Kikao cha dharura,Ndio mzee, Msinitenge, Promoter ana beep, zali la mentali, Nikusaidiaje, Hapo vipi - Prof Jay

Aisee kwa leo inatosha zipo ngoma nyingi tamuuu jamani way back in time ingawa technology haikuwa kivile ila mziki wao utaishi sana, tofauti na hawa wasanii wa kizazi cha Diamond hamna kitu kabisa!!!!
Hivi hizo nyimbo zinaishigi wapi huko? Maana hazisikiki kwenye redio wala tv, sio kwenye sherehe wala msiba, au zinaishi kwenye redio caseti? Maana hata kwenye flash huenda hazipo? KWa WALE WATAALAM WA KUTUAMIA NYIMBO ZA ZAMANI HAZICHUI, EMBU AJITOKEZE MMOJA ANIPE UFAFANUZI.
 
Me ninachokiona hapa watu wanataja nyimbo zilizohit kipindi husika, lakini kiuhalisia zilishachuja na ndio maana hazisikiki tena, NINAPOCHOKA NI PALE MTU ANAKOLEZEA ETI HIZI NYIMBO HAZITAKUFA MILELE, am like mbona kama ni kufa zilishakufaga kitambo ndio maana mnazikumbuka sasa?
 
Me ninachokiona hapa watu wanataja nyimbo zilizohit kipindi husika, lakini kiuhalisia zilishachuja na ndio maana hazisikiki tena, NINAPOCHOKA NI PALE MTU ANAKOLEZEA ETI HIZI NYIMBO HAZITAKUFA MILELE, am like mbona kama ni kufa zilishakufaga kitambo ndio maana mnazikumbuka sasa?
Duh, sasa katika hali ya kawaida tu, kuna uwezekano nyimbo za mwaka 2003 zipigwe leo? Regaedless ya wasanii wote wapya waliotoa nymibo zao hivi karibuni?
 
Duh, sasa katika hali ya kawaida tu, kuna uwezekano nyimbo za mwaka 2003 zipigwe leo? Regaedless ya wasanii wote wapya waliotoa nymibo zao hivi karibuni?
Sasa maana halisi ya kusema nyimbo za zamani zitaishi milele nini? Nyimbo zipi zinakufa? Me nachojua kila wimbo huondoka na muda wake. Hata zinazotamba now with time will fade away, zitakuja mpya.na kizazi hiki kitazitambua kama nyimbo zilizotamba sanaaa. Nothing like kuishi milele!
 
Huyu fatma hakuwahi kuwa na wimbo solo?
Mbona anazo. Inasemekana ni mdogo wa Hardmad ila sina uhakika sana. Nyimbo zake solo ninazozifahamu ni:
1/. Fatma-Dibaji. (Prod. Marco Chali)
2/. Fatma Feat. Jay Moe-chozi la kusimuliwa. (Prod. Lamar)
3/. Fatma-Mwacheni atambe. (Prod. Lamar)
 
M listening to niaje mandojo domokaya na nature dah kwl siku hizi hkna music
 
1.Yote maisha - madee ft pfunk. Hii ngoma uwa nikiisikiliza ina nitouch sana. Inanikumbusha 2007 ambapo Pfunk alikuwa on the peak before hajashuka na madee akiwa madee kweli. Meseji na beat vyote vina hisia.
2. Alikufa kwa ngoma- Mwana F.a ft Jaydee. Hii ni kati ya ngoma ambazo pia alitengeneza majani. always collabo za f.a na jaydee zilikuwa hatari sijui shetani gani aliingia hapo kati akawagombanisha lakini hii ngoma kwangu mpaka leo siichoki. Napenda flow na uandishi wa F.a wa zamani.
3. Hayakuwa mapenzi- Sugu. Hii ngoma napenda ujumbe na flow za sugu humu ndani. Kusema ukweli ni ngoma chache sana za sugu nazozikubari coz uwa sio mpenzi wa style yake lakini humu alinibamba sana.
4. Niaje - mandojo na domokaya ft Jnature. Huu mkono wa Mika Mwamba. Melody vocal na lyrics za wote walioshiriki uwa zinanifanya nisichoke sikiliza huu wimbo.
5. Nenda - 3D (Mandojo domokaya and squeezer). Mkono wa Ramar kipindi yuko on the peak. Hii ngoma naikubari mpaka kesho kwa kila kitu.
6. Tambara - hardmad ft.... aliye mshirikisha ni mdada jina silijui lakini ni kati ya ngoma kali sana ambazo mpaka leo naweza sikiliza. Kama kawaida Mika mwamba ndiye kaipika.
7. Changa la macho - Ay ft GK. Hii ngoma kaisuka marehemu complex RIP. Flow za ay za ktambo na gwamaka zitakufanya uhitaji ku i replay.
8. Tutakukumbuka - GK ft tid. Hii ngoma kaitengeneza Ludigo akiwa MJ records, enzi za kamanda gk. Ni ngoma ambayo nikiiskiliza inanikumbusha kumrudia Mola.
9. Wauguzi - Ngoma ya wagosi wa kaya. Nadhani itakuwa Mj records. Sijui kwanini uwa naipenda ila i just love it.
10. Nyalu land - Mike Tee ft jaydee. Aisee hii ngoma kaitengeneza Master J, ngoma zote alizowahi kushirilishwa jaydee zilikuwa hot. Na ole flow ya kunata ya mike Tee na maneno yake ya kinyaru hunifanya nisiichoke hii ngoma.
11. Mabinti dam dam- F.A. hii ngoma ngaitengeza Bon Love, again F.A wa zamani nilikuwa napenda flow yake na uandishi wake wa kifalsafa.
12. Tuliza boli - F.A ft stara Thomas. Hapa sitii neno maana F.A wa zamani.
13. Binamu - F.A. nadhani hii ndiyo ngoma ya mwisho kumkubari sana F.a. siku hizi namkubari kawaida. Mpishi wa hii ngoma ni Marco chali kipindi bado yuko kama kawa records.
14. Handsome - Dully sykes. Huu mkono wa Pfunk. Huu wimbo unanikumbusha enzi hizo kiukweli i just love the beat and te flow of dully kwenye hii ngoma nothing else and the memories labda.
15. Yatima hadekezwi - ...ft squeezer. Mwenye wimbo nimemsahau ila ni ngoma moja ina ujumbe mkali sana.

Remember those dem days kabla ya nigerian genre na kwaito kuvamia bongo fleva
Hatar
 
1. Mama Mia-Jose Chamilion
2. Rudi rudi mpenzi - Big Dog Pose (BDP) kama sijakosea
3.Tunataabika - Mabaga Fresh
4. Namba 8 - ft Fid Q
5. Sugu Moto Chini
6. Niaje na Taswira Mandojo na Domokaya
7 Tamara wa Hardmad
8. Jay Mo - Mvua na Jua kifupi albam yake nzima ya ulimwengu ni mama ilikuwa motooo!!
9. Q Chila ninachokipata
10. Kuna remix ya K lyn na Jay Mo wimbo wa nikimpata wangu bila shaka!!

Nyimbo sizipendi ila nikizisikia nakumbuka jambo!!

Salome wa Dully Sykes! Nakumbuka wakati wake ilikuwa kila asubuhi Magic FM lazima upigwe so na wakati huo nilikuwa katika hali fulani daaah!! Hunirudisha exactly kwenye picha nzima
hiyo Rudi Rudi Mpenzi,mkuu naweza ipata?uko nayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom